joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Anachokisema Muhoozi ni kweli kabisa, KDF ni jeshi la hovyo sana. Wakenya badala ya kuukubali ukweli, tatizo lao ni kupenda majigambo ya kijinga.Huyu mshenzi anawakimbiza balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2533170
Mimi ni Scientist kaka, tena katika eneo la afya na viumbe hai. Chanjo ndio msingi mkubwa wa kupambana na Magojwa.Kaka, bado unaamini katika hizi "chanjo" za mrna?
Mkuu nimekutumia link kibao zinaonyesha wakenya wakiandamana kupinga wachina wasifanye biashara nchini kwao, umeiona?[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huko Kunyaland Kuna shirika gani linaenda vizuri? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya Power sinks into Sh1.1 billion half-year loss
The utility firm's performance dipped from Sh3.82 billion net profit that had been posted a year earlier.www.businessdailyafrica.com
Sasa kwanini hayo mashamba ya chai wasilazimishe kilimo Cha mahindi japo robo ya eneo la chai?Huku ndiko Kunyaland imefikia na Rais wao mchovu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji12][emoji12]
Kenya in talks to barter tea for Pakistani rice
Kenya is pushing for barter trade on tea in exchange for rice imports from Pakistan.www.businessdailyafrica.com
Hamna nchi itakubali huu ujinga yaani ubadilishe mlo kwa kiburudisho?Hivi huko Kunyaland Kuna shirika gani linaenda vizuri? 🤣🤣🤣🤣
Kenya Power sinks into Sh1.1 billion half-year loss
The utility firm's performance dipped from Sh3.82 billion net profit that had been posted a year earlier.www.businessdailyafrica.com
Kama scientist unafahamu kuna ongezeko kubwa la vijana (12-25yrs) kuwa na myocarditis na pericarditis, kwa wale waliochanja?Mimi ni Scientist kaka, tena katika eneo la afya na viumbe hai. Chanjo ndio msingi mkubwa wa kupambana na Magojwa.
Kwanini AIDS kwa miaka 40 bado haina chanjo ila corona kwa miaka mitatu tuu inachanjo?Miaka 40 Sasa bado AIDS inasumbua, lakini CORONA ndani ya miaka 3 tu inakaribia kutoweka duniani, unadhani hiyo ni kwa bahati mbaya?
Kwanini hao wakenya wasinywe hiyo chai Yao Kama wanaona chai ni muhimu kuliko mahindi?Hamna nchi itakubali huu ujinga yaani ubadilishe mlo kwa kiburudisho?
Inawezekana ila kumbuka kuna mmoja huwa haaminiki muda wowote analitia maji. Tanzania ndiye asiyekuwa na makuu, kwahiyo kila mmoja atataka reli yake ianzie kwetu.Hiyo reli naona inajengwa from Tz to Rwanda then Uganda ili kila mmoja afaidike. Au from uvinza mpaka Gitenga in Burundi then Rwanda and Uganda
Yap ila wanasema wao hawataki wachina waje kufanya uchuuzi ila wawekeze kwenye extractive industry.Mkuu nimekutumia link kibao zinaonyesha wakenya wakiandamana kupinga wachina wasifanye biashara nchini kwao, umeiona?[emoji23][emoji23][emoji23]
China Square hapo Nairobi sio uchuuzi, ni Kama hii business complex inayojengwa na wachina pale Ubungo. Yani wachina wanaleta bidhaa zao toka China na wanauza kwa bei nafuu. Mkuu ogopa Sana wakenya.Yap ila wanasema wao hawataki wachina waje kufanya uchuuzi ila wawekeze kwenye extractive industry.
Hata Tanzania hili limewahi jitokeza pale Kariakooo watu kupinga wachina kuuza Hadi viatu Kwa reja reja
Sasa hii ndio nini?, Warudi Kenya kupambana na Eric Omondi na Rails barabarani.Kenya ni nchi dhaifu sn yn mtu kutoka kataifa kadogo anaitukana nchi yenu na jeshi lenu alafu hawa wadhaifu wamekaa kmy.
No wonder hii shit hole hakuna kitu imewahi kushinda, c vita, c njaa wala magonjwa.
Mti wa matunda ndo watu urusha mawe.Kenya ni nchi dhaifu sn yn mtu kutoka kataifa kadogo anaitukana nchi yenu na jeshi lenu alafu hawa wadhaifu wamekaa kmy.
No wonder hii shit hole hakuna kitu imewahi kushinda, c vita, c njaa wala magonjwa.
ImeshawakataChina Square hapo Nairobi sio uchuuzi, ni Kama hii business complex inayojengwa na wachina pale Ubungo. Yani wachina wanaleta bidhaa zao toka China na wanauza kwa bei nafuu. Mkuu ogopa Sana wakenya.
😄 😄 🤣Maswsli 3
1)Kuhusu vijana waliochanjwa kuwa na tatizo la myocarditis, hiyo haijawathibitishwa kuwa na uhusiano wote na chanjo ya Corona, utafiti zaidi unahitajika, ikithibitika mamlaka husika(WHO) itatoa muongozo nini Cha kufanya.
2)Kutokuwepo kwa chanjo ya HIV hadi leo. Kama ambavyo bado hatujapata chanjo za magonjwa mengi tu, Malaria, Cancer, Ebola, ukoma na mengine mengi, bado hatujapata tamaa, kazi inaendelea.
3)Kuhusu (UK) na US na baadhi ya mataifa kukataa chanjo za mRNA. Kwanza Sina uhakika Kama unalosema ni kweli. Kama ni kweli basi Kila nchi Ina Sheria na taratibu zake. UK na USA wameruhusu ushoga, mbona sisi hatuwaigi?
Mkuu, hatupaswi kuiga UK au nchi yoyote katika mambo yanayohusu afya, tunapaswa kufuatia ushahidi wa kisayansi unaothibitishwa na WHO tu.
Sgr inapita Burundi kwenda congo rwanda haiendiInawezekana ila kumbuka kuna mmoja huwa haaminiki muda wowote analitia maji. Tanzania ndiye asiyekuwa na makuu, kwahiyo kila mmoja atataka reli yake ianzie kwetu.
Hiki kipande cha Isaka kinaweza kugawanyika katika mkoa wa Geita au Kagera kikaenda Rwanda na Uganda.
Mkuu hao wakenya ni watu wa kuparamia vitu wanaona NY London kuna China town na wao wanakuja na China Square maana kamji bado kadogo.China Square hapo Nairobi sio uchuuzi, ni Kama hii business complex inayojengwa na wachina pale Ubungo. Yani wachina wanaleta bidhaa zao toka China na wanauza kwa bei nafuu. Mkuu ogopa Sana wakenya.