Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji38][emoji38][emoji38] ndivo ulidanganywa hvo
Ushindani wa maziwa tanzania hamuuwezi tena labda dunia ipinduke tena
Data inasema otherwise

Africa

Africa is comprised of 54 countries. The total number of dairy cows in Africa is five times that of the United States (49 vs. 9 million). The highest milk producing countries in Africa are Ethiopia, Kenya, South Africa, and Sudan. Of these countries, Ethiopia has the most cows whereas South Africa has the greatest milk production per cow. Among the top four milk producing countries, only two (Ethiopia and Kenya) are self-sufficient, meaning dairy production meets or exceeds dairy consumption



Kuna mahali unaona tanzania wewe mwehu, punguza uswahili wivu na chuki ichogal[emoji1787][emoji1787]
 
Kenyans: Our GDP is greater than Ugandan and Tanzanian combined

Reality: [emoji116]

Cha ajabu hizo hela walizopewa zote zitaenda Tanzania na Uganda kununua unga, mahindi, mchele, vitunguu etc. GDP uchwara
Eti wanasema wana chakula kingi kutuzidi wakati watoto wao 970000 wanakabiliwa na utapiamlo unaotokana na ukosefu wa chakula na si lishe bora. Yaani hawana chakula kabisaa.

Kwa hisani ya watu wa Marekani wamepewa msaada wa pesa kwa ajili ya kununua chakula K19 billion.

Ziara ya mama Biden ndio imesaidia hawa masikini wa North.Wanasingia ukame.

Pandeni miti mpate mvua Afrika bado tunategemea kilimo cha mvua kwa asilimia kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…