ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,458
- 89,880
Nimewahi ni Moja ya kampuni kubwa niliosahau pale kwenye list yangu but ngumu sana kukuta bidhaa za Tanga fresh Songea au hata Tabora..Ulishawahi kutumia Tanga fresh?usikute hua unaendesha mada zako kwa hisia sio uhalisia wa mambo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sijawah kuyaona maziwa ya brooksideNimewahi ni Moja ya kampuni kubwa niliosahau pale kwenye list yangu but ngumu sana kukuta bidhaa za Tanga fresh Songea au hata Tabora..
Tunarudia kule kule kama ni vikampuni hapa Bongo vingi sana ila ni local.
Kwa experience yangu ya Supermarket bidhaa inayotoka haraka ya maziwa ni Azam Milk ,Brookside za Kunyaland ndio wanafuata hao wengine mwisho mwisho huko [emoji16][emoji16]
Sasa unashinda kwenye mabanda ya mama Ntilie hayo utayaonea wapi? Sio ya watu maskini 😁😁
Sawa tajiriSasa unashinda kwenye mabanda ya mama Ntilie hayo utayaonea wapi? Sio ya watu maskini [emoji16][emoji16]
Tafuta supermarket yoyote unioneshe maziwa ya kutoka kenya ukiyapata uniambie nikulipie mm 😆😆😆😆Kampuni nyingi ni ndogo ndogo tuu,kubwa ni kama Dar fresh,Azam diary ,Asas diary ila Kuna utitiri wa vikampuni..
Supermarkets nyingi za zimejaa maziwa ya kampuni za Wakunya Kwa sababu za kwetu hazina uwezo wa ku feed soko letu.
😆😆😆 nakumbuka zamani nilikua naziona sana maziwa ya kenya yanzania hasa brookside na KCC ila miaka mitano nyuma yalipotezwa na kampuni za kitanzania mpaka leo sijawah kuyatia machoniHaujui otherwise ungejua role ya kenya dairy board wewe chupi[emoji1787][emoji1787]
Ww taja za vichochoroni manake giants company in kenya zinajulikana mbona hata huku za vichochoroni zimejaa mfano nakupa kanda ya ziwa mwanza , kahama, bariadi, shinyanga hua wanauziwa maziwa na watu binafsi tena wanakuja kuwagongea mpaka majumbani wanapima kwa lita na ukiwahesabu hao wajasiriamali binafsi hata 5000 wanafika just imagine 😆😆😆Milk products kenya huwezani nazo ichogal huku si tanga fresh, hujawaii skia Daima, delamere, ilara, bio foods, jolly fresh, dairyland, lyons maid,cream bell,tuzo, fresha,kinangop dairy,eldoville, laki laki [emoji706] hujui kitu ni wivu na mdomo umejaza kam mswahili tu
Yogurt kupata ni shida 😆😆😆😆😆 ww unnawazimu wa kichwa na kumbe mpaka leo muna kasumba ya kudhani tanzania ni ile ya 90s nilidhani hamuna tena hiyo kasumba mwambie huyo aliekwambia akutaftie yogurt ya kenya tanzania na akipata anitagAsante kwa kuwaambia ukweli, dar kwanza yoghurt kupata ni shida kabisa
Unless wamezuia Kwa Sasa maana nasema hivyo Mimi mwenyewe nilikuwa kwenye kazi hiyo kipindi Niko Dar na Arusha.Tafuta supermarket yoyote unioneshe maziwa ya kutoka kenya ukiyapata uniambie nikulipie mm 😆😆😆😆
Dar fresh
Tanga fresh
Azam
Assas
Musoma diary
Farmers fresh
Tan diaries
West kilimanjaro
Engiteng
Maziwa mbeya
Etc hzo zote ni kampuni kubwa na ww unaonekana tanzania bado huijui 😆😆😆 tafuta soko la maziwa kenya ukilipata unitag mm eti unabana saut supermarket zote zimejaa maziwa ya kenya ww hata supermarket unazijua ikiwa unatokea sumbawanga vijijini 🤣🤣🤣🤣
Sio wamezuia kwa sasa miaka 5 nyuma maziwa yote ya kenya yalitoweka kutokana na ushindani wa kampuni za kitanzania ww unaongea nn hapa ikiwa hata hujui dunia imefika wapi? Kampuni za maziwa tanzania zishakua nyingi kias kwamba hakuna nafas ya kampuni za kenya kuuza kwenye soko hiliUnless wamezuia Kwa Sasa maana nasema hivyo Mimi mwenyewe nilikuwa kwenye kazi hiyo kipindi Niko Dar na Arusha.
Mkoa niliko Kwa sasa ukiacha Asas hakuna kampuni zingine za kigeni tofauti na za hapa hapa Mkoani..
Sijakuelewa vizuriZinauzwa Hadi ulaya mkuu
Congratulation, lakini kuweni makini na fujo zenu za kisiasa zitarudisha tena nyuma haya mafanikio mliyoyapataOur tourism earnings almost doubled.
First of all we dont have Ethiopians in this forum ongelea atcl wachana na we Ethiopia , secondly any time cancellation airline has never tasted profits not even once atleast KQ has for many years, 3rd you made 2.5b kwa tourism we made 2.1b hows that double? The time.you keep talking about still proves kenya is always ahead [emoji1787][emoji1787][emoji848]