Inategemea na mikataba ya nchi husika yaani bilateral agreement kati ya Uganda na Uk au EPA.Why Kampala Uganda na siyo Dar-es-salaam Tanzania. Tumeitangaza nchi nyingine kimataifa.
Kwa hiyo unabishana na takwimu? Wewe ndio una guessKwahyo unafanya guess work.? ๐คฃ
Una takwimu hapo we kondoo wa Kijijini ntwara.? Unavyopost post ujinga kutokea huko porini kwenu unatakiwa ujue kuwa kuna watu tumeshaishi karibu kila mkoa wa hii TanzaniaKwa hiyo unabishana na takwimu? Wewe ndio una guess
Phase 3 inakwenda kasi sana ๐๐
From the article you posted wewe na uelewa wako where do you think the 34 million litres they import normally go to, ama you dont think other retailers source from them?Hii Hass Petroleum ambayo inamiliki vituo vitano (kwa mujibu wa website yao) kati ya vituo 2032 Tanzania nzima ndo mnaipigia kelele?
Kwa mujibu wa hii PDF ya ewura, Hass Petroleum inamiliki vituo 7 Tanzania nzima
1. Kwa Idd Petrol Station - Arusha
2. Kikatiti Petrol Station - Arusha
3. Mbauda Petrol Station - Arusha
4. Meserani Petrol Station - Arusha
5. Kibaha - Coast
6. Geita Service Station - Geita
7. Iyunga Petrol Station - Mbeya
View attachment 2530592View attachment 2530593View attachment 2530594
Kwa nchi mara mbili siza ya kenya na bado your domestic airlines hazikaribii kenya kwa mapato na numbersTanzania airports 21 kenya 19 na bado tunajenga Msalato.
View attachment 2530662View attachment 2530663
Wewe umeona zako basiAmesema the entire Hass energy outlets were bought by Tanzanian Lake oil company.
Kwa kifupi alot of investment in energy sector is coming from Tanzania.
Hao ni waborana for your info kenya haujui mseeMm nazungumzia wamachinga wengi sasa hvi ni wasomali kenya nzima mpaka migori kisumu sijui homabay mpaka kisii huko nimewakuta kibao wanauza simu wakitembeza na bidhaa ndogo ndogo[emoji38][emoji38]
๐๐๐๐ unless niwe sijawaona wasomali ndio utanidanganya mmHao ni waborana for your info kenya haujui msee
Hiyo ni plant ya taifa gasTaifa Gas in Kenya
View attachment 2531497
Now is 18.1 ๐๐๐from 23 hii dunia kaaah
View attachment 2531537
Watakwambia wao wanatumia european cars as if probox zinatoka germany ๐๐๐