Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani kakataa kua wasomali asili yao ni somalia na walihama kuja kenya na sasa ndio wameshika uchumi wenu wote πŸ˜†πŸ˜†
Leo kuna tajiri gani au mfanyabiashara mkubwa utamzungumzia kenya asiwe msomali
waca wa kuhama north eastern part of kenya belong to the somali tribe
 
Bro itabakia kua wasomali asili yao ni somalia full stop πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
so vile kuna wamaasai kenya na tanzania pia asili yao ni wapi? bro wasomali wa kenya haakutoka somalia nep ni kwao halisi hata tumewai kua na shifter wars wengine wakitaka north eastern ishikanishwe na somalia... kumbuka somali is the tribe.... somalia and somaliland is the countries they predominate can also be found in kenya, ethiopia and erithria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…