Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,756
Hombolo kijijini?Tanzania Kwa Sasa tuna enjoy improved Heath facilities na services .
Hiki ni Kituo Cha Afya huko Kijijini View attachment 2530279View attachment 2530280View attachment 2530281View attachment 2530282View attachment 2530283View attachment 2530284
Ikiwa kampuni za LPG zipo nyingi huku Tz kuliko huko shit hole unashangaa nn ukisikia number of users ni wengi kuliko kwenu, takwimu za juzi tu hapa Rais wenu amesema more than 70% ya Wakenya wanapikia kuni we unabisha nn sasa.Kenya Ina users wengi wa LPG kuliko Tanzania despite Tanzania kuwa producer wa LPG. Alafu sijui hiyo data ya kampuni za gas kuwa nyingi Tz umeitoa wapi. Anyway, kilicho cha maana ni quantity of gas consumed sio number of companies providing the gas.
Wakenya mnachekesha sana. Tanzania kuna zaidi ya makampuni 5 ya gas majumbani halafu unaendelea kulalamika eti watumiaji wachache. Hizi ni akili au matope?
Wakunya wanaojifanya wana technology waonyeshe kiwanda kama hiki Ukunyani!
Uwekezaji huu mkubwa ubakabiliwa na wataalamu wachache wa mionzi...ni kipindi cha kuwahamasisha vijana waliofaulu vizuri Masomo ya science Physics, chemistry,biology and mathematics kusoma Diagnostic Radiography Goli liko wazi kabisaTanzania Kwa Sasa tuna enjoy improved Heath facilities na services .
Hiki ni Kituo Cha Afya huko Kijijini View attachment 2530279View attachment 2530280View attachment 2530281View attachment 2530282View attachment 2530283View attachment 2530284
Kule gesi huku pipeline, LNG ina-beep, yajayo yanafurahisha!
MY TAKE
Simuelewi mama kumuondoa dr Mataragio na kumuweka Mzanzibari TPDC, kunani?
Kuna mahali anatia ngumu!Usijali, atarudi tena. [emoji23][emoji23][emoji23]
* Dec. 2014 - Appointed DG of TPDC
* Aug. 2016 - Suspended
* July 2019 - Reinstated
* April 4, 2021 - Dismissed
* April 5, 2021 - Reinstated
* February 2023 - Dismissed
I stopped keeping tabs on malls a long time ago. They're just too many here.Another mall in Westlands,, check that are na si kwa main road,ni huko ndani kabisa ya Westlands,so beautiful
https://www.facebook.com/
Kuna Watz wachache wasiojitambua humu ndio wanawapa nguvu hawa kima, yn kiwango cha kutojiamini kwa hawa Watz kimevuka mipaka, just imagine shit hole country tumeipelekea LPG kwamba wana hali mbaya lkn kuna Watz hawajiamini kabisa, wallahi ujamaa umetuharibu kabisa. Mtu anaongea kabisa "Kenya kuna middle class kubwa kuliko Tz" alafu mtu huyo huyo baadaye anapost slums za Kenya aki claim kwamba Tz iko vzr, hivi mtu kama huyu anajielewa kweli? Wote humu tunajua kwamba Wakenya wana maisha magumu evidence zote zimeonesha hivyo lkn kuna Watz wachache wanatuangusha sn yn hawajiamini kabisa.Wakenya mnachekesha sana. Tanzania kuna zaidi ya makampuni 5 ya gas majumbani halafu unaendelea kulalamika eti watumiaji wachache. Hizi ni akili au matope?
Mpaka vijijini matumizi ya gasi ni makubwa tu.
Na hazijawasaidia chochote kuondokana na ufukara uliokithiri huko shit hole country.I stopped keeping tabs on malls a long time ago. They're just too many here.
Hao sio watanzania. Wanajifanya watanzania kutuchanganya. Ingnore them. Hii thread imekuwa hapa miaka mingi sana. Hao wanao comment hivyo siyo watanzania.Kuna Watz wachache wasiojitambua humu ndio wanawapa nguvu hawa kima, yn kiwango cha kutojiamini kwa hawa Watz kimevunga mipaka, just imagine shit hole country tumeipelekea LPG kwamba wana hali mbaya lkn kuna Watz hawajiamini kabisa, wallahi ujamaa umetuharibu kabisa. Mtu anaongea kabisa "Kenya kuna middle class kubwa kuliko Tz" alafu mtu huyo huyo baadaye anapost slums za Kenya aki claim kwamba Tz iko vzr, hivi mtu kama huyu anajielewa kweli? Wote humu tunajua kwamba Wakenya wana maisha magumu evidence zote zimeonesha hivyo lkn kuna Watz wachache wanatuangusha sn yn hawajiamini kabisa.
Hili suala la Rostam kama ingekuwa ni kampuni ya shit hole country imekuja kuwekeza Bongo wallahi tungekoma humu, lkn cc Watz kwasabu ujamaa umetuharibu tunaona kawaida tu wkt hili sio jambo la kawaida, hii ni zaidi ya kuuteka uchumi wa nchi jirani.
Malls in a country people don't have food to eat, cholera outbreaks daily, bandits every corner of the country[emoji24][emoji24][emoji24]I stopped keeping tabs on malls a long time ago. They're just too many here.
Hiyo taifa gas yenyewe mpaka kufikia hapo ristam kaipambania sanaMkuu, ndio sababu nikakuambia waulize wafanyabiashara wakubwa ambao wanakwenda Kenya kuwekeza, hao ndio wanaowajua wakenya, wewe hujawahi kuwa mfanyabiashara mkubwa ambaye unaweza kuwa tishio kwa wafanyabiashara wa Kenya, wewe uliajiriwa na kufanya kazi na wakenya.
Wewe unachanganya kati ya utendaji kazi wa wakenya na Kenya kuwa ni nchi inayoruhusu biashara huru, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa. Wewe ulifanyakazi na wakenya, kwahiyo unawajua vizuri utendaji wao wa kazi ukilinganisha na watanzania, lakini hujawahi kwenda Kenya kuwekeza, huko hukujui vizuri, wanaowajua vizuri wakenya katika uwekezaji ni
1)Serikali ya Uganda
2) Rostam Aziz
3)Aliko Dangote
4)Mo Dewji
5) Bakhresa
Waulize watakujuza vizuri.
Kuhusu kuondoa vikwazo vya biashara, Hilo kwa wakenya Wala lisikupe matumaini yoyote, hakuna vikwazo vyovyote vya biashara kati ya Kenya na Uganda, lakini Kenya wanaamua tu kuzuia bidhaa za Uganda bila kufuata taratibu za makubaliano.
Mkuu jipe muda vizuri wa kuwajua wakenya, usifurahie maneno na maandishi Kama hayo ya kwenye magazeti, inapofika kwenye utekelezaji, wakenya wanaangalia maslahi Yao, kamwe hawajali Kama kulikua na makubaliano yoyote, Kenya ni "man eat man society", never trust them.
Ujamaa is the right thing ever done by Julius Nyerere in this country, otherwise majority of Tanzanians would be the same as those in Kenya who live in slums and don't have anything to eat.Kuna Watz wachache wasiojitambua humu ndio wanawapa nguvu hawa kima, yn kiwango cha kutojiamini kwa hawa Watz kimevuka mipaka, just imagine shit hole country tumeipelekea LPG kwamba wana hali mbaya lkn kuna Watz hawajiamini kabisa, wallahi ujamaa umetuharibu kabisa. Mtu anaongea kabisa "Kenya kuna middle class kubwa kuliko Tz" alafu mtu huyo huyo baadaye anapost slums za Kenya aki claim kwamba Tz iko vzr, hivi mtu kama huyu anajielewa kweli? Wote humu tunajua kwamba Wakenya wana maisha magumu evidence zote zimeonesha hivyo lkn kuna Watz wachache wanatuangusha sn yn hawajiamini kabisa.
Hili suala la Rostam kama ingekuwa ni kampuni ya shit hole country imekuja kuwekeza Bongo wallahi tungekoma humu, lkn cc Watz kwasabu ujamaa umetuharibu tunaona kawaida tu wkt hili sio jambo la kawaida, hii ni zaidi ya kuuteka uchumi wa nchi jirani.