Hili ndio jibu rahisi kua muta import gas from tanzania so rostam anachofanya ni kujenga na kuboresha export ya gas from tanzania to kenya kwa asilimia 100 na sasa mumshukuru rostam kaja kuwapa nafuu kenya 😆😆😆Napenda watu ambao hutoa objective views kama wewe bila kuweka personal biases na emotions. Same thing na Rostam kuweka his biggest plant Kenya badala ya Tanzania. Haya ni maswali ambayo Watanzania yafaa wakue wanajiuliza badala ya kujipiga vifua.
Kwasababu kai favor shit hole ndio maana unaona yuko objective au sio? Nyie Wakenya ni wapumbavu sn.Napenda watu ambao hutoa objective views kama wewe bila kuweka personal biases na emotions. Same thing na Rostam kuweka his biggest plant Kenya badala ya Tanzania. Haya ni maswali ambayo Watanzania yafaa wakue wanajiuliza badala ya kujipiga vifua.
Nakumbuka mika 3 nyuma mulimkatalia bakhresa asiekeze kiwanda cha unga mombasa kwasababu angeua viwanda vya kenya na mmoja yao alikua mombasa maize millers ambayo owners ni bashamakh walieenda mpaka bungeni kupinga 😆😆😆Napenda watu ambao hutoa objective views kama wewe bila kuweka personal biases na emotions. Same thing na Rostam kuweka his biggest plant Kenya badala ya Tanzania. Haya ni maswali ambayo Watanzania yafaa wakue wanajiuliza badala ya kujipiga vifua.
Huwa ninakushangaa Sana wewe na wenzako wakenya jinsi mnavyotumia ubongo wenu.Napenda watu ambao hutoa objective views kama wewe bila kuweka personal biases na emotions. Same thing na Rostam kuweka his biggest plant Kenya badala ya Tanzania. Haya ni maswali ambayo Watanzania yafaa wakue wanajiuliza badala ya kujipiga vifua.
Yani twitter wanalia hawa jamaa wanawivu bro acha kabisa wana roho mbaya ya ajabu yani rostam amekua gumzo kenya nzima mpaka kwa watoto wanaozaliwa sasa hvi😆😆😆😆😆😆😆😆Kwasababu kai favor shit hole ndio maana unaona yuko objective au sio? Nyie Wakenya ni wapumbavu sn.
😆😆😆😆 na sio taifa gas pekee mpaka lake gas nimemkuta kenyaNapenda watu ambao hutoa objective views kama wewe bila kuweka personal biases na emotions. Same thing na Rostam kuweka his biggest plant Kenya badala ya Tanzania. Haya ni maswali ambayo Watanzania yafaa wakue wanajiuliza badala ya kujipiga vifua.
Me nadhani Benjamin kafanya uamuzi huo kwa sababu za kibiashara na sio sababu za Kitechnolojia. Ni technolojia ipi ambayo hatuna kiasi cha kumpeleka Nairobi? Yeye kaona kuwa wateja wake wengi wako huko na sababu ya Kenya kuwa na diaspora nje ya nchi tuliishazungumza humu, njaa ikiwa ni moja wapo ya sababu ndio maana watu wanakimbia kwao. Hii naomba tuelewane kabisa.Inshu ya NALA inatuacha uchi sana waTz, ukisikiliza interview nyingi za Benji Fernandes huwa always analalamika vile sisi kama nchi tuko nyuma sana ki Teknolojia hasa hizi FINTECH, imagine ameenda kuifanya Nairobi iwe makao makuu ya NALA badala ya Dar es Salaam kwa sababu ya market forces including sisi kuwa nyuma kwenye masuala hayo, na ile ni startup still anahitaji wawekezaji zaidi kwenye kampuni yake, in Eest Africa ni Burundi tu ndiyo tumewashinda, huwa nasikitika sana humu kuona waTz wenzangu wanafanya arguments based on propaganda na siyo reality.
Hiki ni kibanda mkuu a k a kibandaski usipost humu tafuta kwenye battle ya ikulu ya uganda au s.sudan kapost hukopState House Nairobi
View attachment 2529978
Huyu analeta gesi kwa meli zake mwenyewe! hamna mtu anamweza East Africa!Hili ndio jibu rahisi kua muta import gas from tanzania so rostam anachofanya ni kujenga na kuboresha export ya gas from tanzania to kenya kwa asilimia 100 na sasa mumshukuru rostam kaja kuwapa nafuu kenya 😆😆😆
Hiki ni kituko gani?State House Nairobi
View attachment 2529978
Nauli kwa daraja la tatu zimepanda.? Last time 2020 nilipanda hii nikitokea bukoba mwezi wa 11 hiv nauli ilikua 16000 daraja la tatu kukaa
My favourite joint in moshi
Mm sikukatalii lakini haina kwamba hana wapinzani wa lpg tanzania na najua ushindani ni mkubwa sana juzi nimeona mpaka puma nae kaingia kwenye hio business nimeona mitungi yake all in all ukiangalia kwa jicho la karibu utagundua hata pipeline ya gas ya kutoka dar tanga to mombasa tayar tutakua na mwekezaji wakitanzania huko ameshafika akisubiri mradi huo mkubwaHuyu analeta gesi kwa meli zake mwenyewe! hamna mtu anamweza East Africa!
Ni kweli ila mwenye tanker ana mileage kubwa kwenye hii sector na yupo mbioni kununua Tanker nyingine! Hivi Bakhresa ana tanker?Mm sikukatalii lakini haina kwamba hana wapinzani wa lpg tanzania na najua ushindani ni mkubwa sana juzi nimeona mpaka puma nae kaingia kwenye hio business nimeona mitungi yake all in all ukiangalia kwa jicho la karibu utagundua hata pipeline ya gas ya kutoka dar tanga to mombasa tayar tutakua na mwekezaji wakitanzania huko ameshafika akisubiri mradi huo mkubwa
Panda mtumbwi mzee!Nauli kwa daraja la tatu zimepanda.? Last time 2020 nilipanda hii nikitokea bukoba mwezi wa 11 hiv nauli ilikua 16000 daraja la tatu kukaa
Bakhresa is next!Nakumbuka mika 3 nyuma mulimkatalia bakhresa asiekeze kiwanda cha unga mombasa kwasababu angeua viwanda vya kenya na mmoja yao alikua mombasa maize millers ambayo owners ni bashamakh walieenda mpaka bungeni kupinga 😆😆😆