President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,647
- 94,285
Unakataa nilichokuambia au unabisha?Wewe taja University kumi hapa Africa ambazo zina specialize on Tourism and Hospitality pekee? Wewe fala Hospitality is a very big industry, hio akili yako ndogo isikudanganye utalii ni about wildlife and beaches pekee yake.
Kama zipo vimejengwa miaka isiyozidi 2 nyuma,pale KIA Kwa nini wanakimbilia Nairobi?Sio kweli, JNIA, KIA, Mwanza kote kuna cold storage facilities ndio maana nyama, maua, mbogamboga, matunda na samaki zinaweza kutokea hapa bila tatizo. Please get informed.
Huwa siachi neno kwenye comment zako.Ndio sababu nimekushamgaa Sana kuwataja viongozi wa Kenya kwamba ni watu wenye kupenda ushirikiano wa biashara.
Katika nchi ambayo haipendi kabisa ushirika wa biashara katika ukanda huu, Kenya inaongoza. Kenya itashirikiana na nchi yoyote ya jirani pale itakapoona kwamba yenyewe itafaidika zaidi kuliko, au Kama hawana jinsi ya kufanya.
Kenya inalazimika kujipendekeza kufanya biashara na Tanzania kwa sababu uchumi wa Kenya unaitegemea Sana Tanzania, bila Tanzania uchumi wao utavurugika wote
1)Mali ghafi zitokanazo na kilimo Kama vile pamba, katani, miti na Alizeti, Kenya inategemea Tanzania by 70%
2)Vyakula vya binadamu na wanyama, matunda na viungo, Kenya hutegemea Tanzania by 40%
3)Gas za kupikia, na muda sio mrefu tunawapelekea Bomba la gesi.
4)Kenya hutegemea kutumia ardhi ya Tanzania kupitisha bidhaa zao kwenda masoko ya nchi za SADC
5)Tanzania is the biggest Business partner in Afrika. Kenya is not the biggest Business partner to Tanzania
Mambo haya yanaifanya Kenya kuigopa Tanzania, ndio sababu wanashindwa kutuchezea Kama wanavyowachezea waganda, lakini kamwe usiwasifie viongozi wa Kenya kwamba wanapenda ushirikiano wa kibiashara.
Mkuu wakenya sio watu wazuri katika kufanya nao biashara. Hivi hujiulizi kwanini Bakhresa akimbilie kuwekeza katika nchi zote zinazotuzunguka, Hadi ameenda kuwekeza South Afrika lakini asiende Kenya wakati Kenya ndio nchi yenye uhitaji mkubwa wa Vyakula?
Msenge uyo achana naye.Sio kweli, JNIA, KIA, Mwanza kote kuna cold storage facilities ndio maana nyama, maua, mbogamboga, matunda na samaki zinaweza kutokea hapa bila tatizo. Please get informed.
2016 inakuwa upgraded. Maana yake ni miaka 7 iliyopita.Kama zipo vimejengwa miaka isiyozidi 2 nyuma,pale KIA Kwa nini wanakimbilia Nairobi?
May be kampuni kubwa ziko kwao ndio maana uhakika wa ndege za mizigo ni Kenya..
Mwisho naomba swali la hili jibu,Kwa nini Madini ya Tanzanite yanatoroshwa Kenya? Kwa nini wafanyabiashara hawataki kuuzia Tanzania?
Nimekuambia Tourism sio beach na wildllife pekee, Tanzania is not even among the top 5 countries in Africa by number of international tourists.Unakataa nilichokuambia au unabisha?
A large percentage of Kenyans are stupid
Nakwambia msenge uyo achaneni naye, haeleweki.
Sasa unaniletea Taarifa kutoka kweny blog.Nimekuambia Tourism sio beach na wildllife pekee, Tanzania is not even among the top 5 countries in Africa by number of international tourists.
Nimekuambia unitajie University kumi in Africa amabazo zina specialize kwa kutoa mafunzo ya Tourism and Hospitality pekee?
Unaita United Nations blog. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hio ni nini unapost haina hata title.Sasa unaniletea Taarifa kutoka kweny blog.
Nimekuuliza swali Taja nchi 10 za kitalii hapa Africa. Mbona unahaha tu.
View attachment 2529418
Hizi hapa ni nchi kumi bila hata kuhesabu the tourism Giants of North Africa. Wewe leta University kumi amabazo zina specialize on Tourism and Hospitality pekee.Sasa unaniletea Taarifa kutoka kweny blog.
Nimekuuliza swali Taja nchi 10 za kitalii hapa Africa. Mbona unahaha tu.
View attachment 2529418
Weka link hapa. La sivyo is a toilet paper.Unaita United Nations blog. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hio ni nini unapost haina hata title.
You are talking about 2015 yaani 8 years ago. Upo sawa kweli kichwani?Hizi hapa ni nchi kumi bila hata kuhesabu the tourism Giants of North Africa. Wewe leta University kumi amabazo zina specialize on Tourism and Hospitality pekee.
Hii inaitwa kuitawala East Africa.
Wapi GDP isaidie?Kipindupindu Economy [emoji23]
Ulisema nitaje nchi kumi, jibu umepata, wewe leta jibu ya hizo university kumi au unyamaze.You are talking about 2015 yaani 8 years ago. Upo sawa kweli kichwani?
Unakataa nilichokuambia au unabisha?
A large percentage of Kenyans are stupid
Unaleta outdated stories.Ulisema nitaje nchi kumi, jibu umepata, wewe leta jibu ya hizo university kumi au unyamaze.