joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Because you're the ugliest of all[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuuuh number moko [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]kaaah
Wao wanatuletea kampuni zenye mitaji ya $200, vinajazana huku Tanzania wakijisifu.Vitu wakenya hawapendi kusikia.
Tumeamua kumfata 'dem' ghetoni kwake kbsa tumalize kazi [emoji16]
Moro π₯π₯Unachukua sehemu zenye gorofa tu.
Uyo ndio hawataki kabisa kumsikia, japo joto la jiwe na Ichoboy ndio adui zao wakubwa alafu anafuatia 007 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Venus je? [emoji23]
Tuliwaambia kama watakubali fair business with Tz basi wakubali uchumi wao kushikwa na Tz mana hapo bado Bakhressa hajaweka mkono wake, bado bidhaa za Mo zinasubiri kwa hamu mana kwa bidhaa za Mo atauza sn cz jamaa bidhaa zake nyingi huwa anauza cheap with some low quality, kwahiyo atauza sn kule mana more than 80% ya Wakenya ni fukara they can't afford to buy products zenye standard kubwa.[emoji23][emoji23] ingekuwa ni kampuni ya mzungu au mchina, tungekoma humu leo.. na vile ni largest in EA, tungeona thread kila mahali, ila kwakuwa ni ya Tanzania, wameufyata. Viva [emoji1241], na bado [emoji382] haijakolea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], wewe hawataki hata kusikia harufu yakoUyo ndio hawataki kabisa kumsikia, japo joto la jiwe na Ichoboy ndio adui zao wakubwa alafu anafuatia 007 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
More than 524 companies invested only $1.7B, are these companies or mama mboga viosk?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Any person mwenye elimu ndogo tuu can easily identify mradi wenye economic impact.Hivi wewe una qualifications gani za kudecide mradi wenye economic impact na wenye hauna?
Yani nimecheka sana $130m ndio mradi mkubwa kwa private sector in the recent past huko Kunyaland [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vitu wakenya hawapendi kusikia.
Tumeamua kumfata 'dem' ghetoni kwake kbsa tumalize kazi [emoji16]
Hawawezi kufanya hivyo hata kidogo. Ila ingekuwa wao ungesikia Kenya owns your economy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijaona wakunya wakifungua threads za kupongeza huo uwekezaji mkubwaβ¦.ooh nilisahau, wengi wa wakunya humu ni wafuasi wa Jaluo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Manji gas nayo piaDar kuna kampuni nyingi sana na ushindani ni mkubwa sana bro
Lake gas
Cam gas
O gas
Taifa gas
Oryx
Mihan gas
Etc na wote hao ni giants hakuna kampuni ndogo hapo
The problem is that, total of 524 Kenyan companies in Tanzania investment value of only $1.7B, are you serious?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1st company ya mama mboga as you claimed
Tanzania owns Kenya's economy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rostam Aziz katuongezea number za FDI pale na Taifa gas. Kenya is truly the investment hub of East Africa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], wewe hawataki hata kusikia harufu yako
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app