babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,446
- 36,079
Hata India na South Africa zina per capita income kubwa kuliko Tanzania lakini kuna very extreme poverty more than our country.
Sioni faida ya kuwa na uchumi mkubwa unaonufaisha wachache, heri kuwa na uchumi wa wastani unaonufaisha wengi
Bongolala, I know you are dumb but let me make it easy for you. 28 million people represents 46.6% of Tanzanians (almost half of your population). And mark you, these are people living in extreme poverty, not moderate poverty.You are so stupid, let me give you an exercise to measure your IQ.
i
1. 2 people out of 10 were injured in an accident occurred on road A.
2. 5 people out of 100 were injured in an accident occurred on road B.
Qn. From the above, elaborate which road has high frequency of accident?
Nipe ripoti yoyote ya WB, IMF or any other reputable body inayosema kwamba South Africa inazidi Tanzania in extreme poverty. Usiwe unatoa maneno akilini. Hapa tunatumia evidenceHata India na South Africa zina per capita income kubwa kuliko Tanzania lakini kuna very extreme poverty more than our country.
Sioni faida ya kuwa na uchumi mkubwa unaonufaisha wachache, heri kuwa na uchumi wa wastani unaonufaisha wengi
Vipi umelowa?Nipe ripoti yoyote ya WB, IMF or any other reputable body inayosema kwamba South Africa inazidi Tanzania in extreme poverty. Usiwe unatoa maneno akilini. Hapa tunatumia evidence
203 vs 1200.What do you have to say about Tanzania ambapo maisha si magumu?
Unclaimed bodies: Dar morgues grapple with the rising numbers
We will all die one day. This is a sad reality, but the only option is to get used to the fact.www.thecitizen.co.tz
Tanzanians think they live in a different world. What a stupid lot!
Saidia mwenzako if can kwa swali niliyompa. Maneno ya kujicomfort peleka Tandale uswaziniVipi umelowa?
Nimekuuliza maswali mengi umeshindwa kujibu. Nimekuuliza unamjua Mama Ngina?Saidia mwenzako if can kwa swali niliyompa. Maneno ya kujicomfort peleka Tandale uswazini
They are busy sharing negative news from Kenya and they forget that things are messier in their own backyard203 vs 1200.
Busy bodies with zero content. Ukishazidiwa heri unyamazeNimekuuliza maswali mengi umeshindwa kujibu. Nimekuuliza unamjua Mama Ngina?
Umeshindwa kujibu swali hilo au? Maana Kenya ipo maskini wengi na hilo unabisha?Busy bodies with zero content. Ukishazidiwa heri unyamaze
Hii ulisahau 🤣🤣🤣🤣Evidence? Is that all you want? You are very much welcome bongolala View attachment 2524776
hii ulisahau nakukumbusha tu🤣Evidence? Is that all you want? You are very much welcome bongolala View attachment 2524776
Wenzako wanapost statistics negative za Kenya, unakubaliana nazo. Ila zikishapostiwa zile positive ndio unakumbuka statistics don't feed people.
Mwaka gani hii ripoti?Evidence? Is that all you want? You are very much welcome bongolala View attachment 2524776
Rudi kwenye id yako plz 🤣🤣🤣Wenzako wanapost statistics negative za Kenya, unakubaliana nazo. Ila zikishapostiwa zile positive ndio unakumbuka statistics don't feed people.
Hivi unaelewa unaloambiwa au una uwezo mdogo wa kuelewa?, USA ni nchi tajiri au masikini?, Kwani USA hakuna masikini?, Ulishasikia Dunia ikisema USA ni masikini?.Ni mara ngapi hapa watanzania wamekanusha Tanzania, haswa Dar hakuna slums? You people thrive in denial. Ubaya ni kwamba hiyo denial haijawasaidia kwa lolote
Safi sana Annael, karibu tena kwenye uzi wako.Mapambano yanaendelea. Tumeweza kuwaamusha watanzania.
Sasa hatua inayofuata ni kuanza kuwafanya watanzania waanze kutumia uelewa wao na kuweza kufanya uwekezaji mkubwa.
Kupitia thread hii tayari tumeweza kuichangamsha serikali na kuwaonensha Watanzania namna walivyo na uwezo.
Kwa sasa wakenya hawana lolote walichobaki nacho ni malalamiko na kejeli ambazo hazina vichwa wala miguu.
Nawapongeza wote mlioendeleza hii thread wakati mimi sipo.
Nilikuwa mbali na nimebanwa na masomo nchi zingine.
Kwa sasa nategemea kurejea Tanzania hivi karibuni.
ASANTENI