Jibu swali... wewe ni Mtanzania kweli, au ni fake ID ya Jamii Forums?Haya maswali ya kijinga sana,instead uende kwenye hoja unaangalia nani kasema
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hawa wakenya kitu kizuri cha Tanzania ni cha east Africa, ila kibovu cha kenya ni cha east Africa,mavi yao, wanaogopa the coming giantJamaa walivyo wezi
Kama panya road tuFailed state
Hua sijibu maswali ya kipuuziJibu swali... wewe ni Mtanzania kweli, au ni fake ID ya Jamii Forums?
We jibu swali...wewe ni Mtanzania kweli au ni fake ID ya Jamii Forums?
Hawa ombaomba kutoka danganyika wanalala barabara Kenya kwa hiari yao? 🤣 🤣 🤣Ni vizuri kabisa na jambo jema mtanzania akaenda kufanya kazi ya halali popote duniani lakini sio kwa kukimbia Tanzania, iwe ni option yake binafsi na motive isiotokana na shortcomings zinazotokana na corrupted systems kama Kenya, Tanzania saivi vijana wanapewa mpaka hectares 10 na serikali bado zipo opportunities nyingi unaweza kuzitumia endapo utakua mwenye nia, hii ifanye elimu tuliopata inanufaisha jamii sio cream yote ipo abroad nyumbani wamebaki vilaza kama Kenya hata kulima hawawezi wa nasubiri remittances
Nilikuwa najiuliza kwanini wakenya wanatuchukia sana sis watanzania. Jibu nimeanza kulipata
And soaps [emoji38][emoji38]Nilikutana na reply ya mkunya kule twitter ikisomeka hivi “Built in Kenya”
Akajibiwa hivi “Ndo Zakayo anavyowahadaa huko kwenu? Kenya can manufacture just plastic cups” [emoji23][emoji23][emoji23]
And soaps [emoji38][emoji38]
Wazee wa boom and bust economy. Ukiona telltale signs za bust lazima uchomoe hela yako huko isije ikapotea.Tunakuja tena kwenye Capital Flows
Kenya vs Tanzania
What Are Capital Flows? Capital flows refer to the movement of money for the purpose of investment, trade, or business operations. Inside of a firm, these include the flow of funds in the form of investment capital, capital spending on operations, and research and development (R&D)
Kenya Capital Flows 2022 Nov = USD -5,248,800,000.00 yaani hapa wapo kwenye Negative
Tanzania Capita Flows 2022 Jun= USD 568,400,000.00
Sasa hivi kweli bado wanaongelea mambo ya uchumi hawa jamaa?
Kila wakijaribu tunawadhibiti, tatizo lenu ninyi hamuwezi kushughulika na changamoto za maisha, tatizo likijitokeza linadumu milele.Kama panya road tu
@NicxieTunakuja tena kwenye Capital Flows
Kenya vs Tanzania
What Are Capital Flows? Capital flows refer to the movement of money for the purpose of investment, trade, or business operations. Inside of a firm, these include the flow of funds in the form of investment capital, capital spending on operations, and research and development (R&D)
Kenya Capital Flows 2022 Nov = USD -5,248,800,000.00 yaani hapa wapo kwenye Negative
Tanzania Capita Flows 2022 Jun= USD 568,400,000.00
Sasa hivi kweli bado wanaongelea mambo ya uchumi hawa jamaa?
Ukimtajia exports tu anakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@Nicxie