Hii story ya njaa isiwe kisingizio chenu everytime you are cornered. Kuna wengine wetu hatujui hata njaa ni nini. Inasikitisha kwamba licha ta yote mlionayo, millions of Tanzanians are still wallowing in poverty. Hiyo nchi yenu tukipewa na hizo rasilimali zote we can turn it upside down🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tanzanian ina rasilimali zote ila hazijaguswa bado by 90% na zingine bado hazijagunduliwa na ajabu ni kwamba tanzania watu hawafi njaa tofaut na nyinyi wenye GDP ya kupika watu wanakufa njaa yani njaa ndio dalili ya kwanza ya umaskini
Mtu mvivu umaskini ndio mshahara wake.Hii story ya njaa isiwe kisingizio chenu everytime you are cornered. Kuna wengine wetu hatujui hata njaa ni nini. Inasikitisha kwamba licha ta yote mlionayo, millions of Tanzanians are still wallowing in poverty. Hiyo nchi yenu tukipewa na hizo rasilimali zote we can turn it upside down
Nilishang'aa sana tunaimport iron ore kutoka Tanzania tunaunda chuma kisha tunawauzia. Ujinga imejaa Tanzania ni level nyingineYou are exporting mostly unfinished products bongolala. Yani mnauza raw materials. Most of your exports are cashew nuts, precious metal ores, dried legumes, raw copper and pearls.
Nitajie finished product iliyopitia kiwandani kwenye hiyo list
Ouch! Akirudi tena nitakubali yeye ni mfalme wa wabishi. 🤣 🤣Rudi shule Kijana.
1800s = 1800 - 1809
1810s = 1810 - 1819
1820s = 1820 - 1829 and so on.
18th Century = 1701 - 1800.
Wewe ni kama hapa JF ndio the best school ushawai kanyaga. Unakuwanga dunder Sana.
View attachment 2517114
Kawaida raw materials ziko na bei ya chini, hivyo Kama ninyi mko na viwanda vingi mlipaswa muwe na balance of trade kubwa kutuzidi.You are exporting mostly unfinished products bongolala. Yani mnauza raw materials. Most of your exports are cashew nuts, precious metal ores, dried legumes, raw copper and pearls.
Nitajie finished product iliyopitia kiwandani kwenye hiyo list
Hahaha, sisi ambao hatuna tatizo kubwa la ukame Kama huko kwenu, lakini tunawaongoza zaidi ya mara 3 katika "Irrigation schemes", Hiyo inakuonyesha ni jinsi gani mlivyo wazembe wakubwaHii story ya njaa isiwe kisingizio chenu everytime you are cornered. Kuna wengine wetu hatujui hata njaa ni nini. Inasikitisha kwamba licha ta yote mlionayo, millions of Tanzanians are still wallowing in poverty. Hiyo nchi yenu tukipewa na hizo rasilimali zote we can turn it upside down
If that is true, kwanini basi "Export yenu to Tanzania is lower than imports.Nilishang'aa sana tunaimport iron ore kutoka Tanzania tunaunda chuma kisha tunawauzia. Ujinga imejaa Tanzania ni level nyingine
Naona amehepa. 🤣Ouch! Akirudi tena nitakubali yeye ni mfalme wa wabishi. 🤣 🤣
"1800s - Wikipedia" 1800s - WikipediaRudi shule Kijana.
1800s = 1800 - 1809
1810s = 1810 - 1819
1820s = 1820 - 1829 and so on.
18th Century = 1701 - 1800.
Wewe ni kama hapa JF ndio the best school ushawai kanyaga. Unakuwanga dunder Sana.
View attachment 2517114
Nimerudi, hajakuambia?Ouch! Akirudi tena nitakubali yeye ni mfalme wa wabishi. [emoji1787] [emoji1787]
Viwanda vingi vikubwa vinatumia gas for powerTanzania have more industries than Kenya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kujiliwaza mnajua sana mibongolala.
Itakuwaje mko na more industries kutuzidi wakati power (electricity) demand and consumption ya Kenya iko juu kuzidi yenu? Ama viwanda vyenu vinatumia kuni kuendeshwa?
It is within manageable margins unlike yoursYou are just proving my point bongolala albeit unknowingly. Your import value is more than your export value. Hapo sasa ni uchumi gani mumejenga?
Hawa jamaa ni limbukeni kabisa. Hawajui kutumia walichobarikiwa nayo na Mungu. Kazi ni kelele tuNilishang'aa sana tunaimport iron ore kutoka Tanzania tunaunda chuma kisha tunawauzia. Ujinga imejaa Tanzania ni level nyingine
Ha ha ha, wanaogopa kuitaja Tanzania. Duh.Jamaa walivyo wezi
Sawa, umeshinda. 1800s = 18th Century. 🤣 🤣 🤣"1800s - Wikipedia" 1800s - Wikipedia
Next time uwe unachagua mtu wa kubisha naye. Mimi sio size yako.
And I also said, just like you are saying it here, that gas is also power. At the end of it all, Kenya has high power demands and even produces more of it than your countryViwanda vingi vikubwa vinatumia gas for power
Ulisema 1800s = 18th Century, mbona sahii unaleta link inayosema ni 19th century? 🤣Nimerudi, hajakuambia?
There is nor a single Kenyan over here JF , who can match my reasoning capability[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
To please such people is to say yes. Instead of engaging them in endless, meaningless arguments, I always tell them wameshinda ili wafurahiSawa, umeshinda. 1800s = 18th Century. 🤣 🤣 🤣
Chakula ndo usiseme hawa tukifunga mipaka wanapiga magoti kuja kuomba msosiKawaida raw materials ziko na bei ya chini, hivyo Kama ninyi mko na viwanda vingi mlipaswa muwe na balance of trade kubwa kutuzidi.
Sikiliza wewe mnuka mavi wa Liberal, tunawauzia bidhaa nyingi za viwandani kuwazidi
1)Vioo
2)Soft drinks(Azam joices & Energy), Mo Energy
3)Tooth paste(White dent)
4)Konyagi & Wines
5)Tranforma za umeme
6)Ceramics
7)Mbolea ya Minjingu
8)Karatasi
The list goes on.........