Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,290
- 3,647
Kumbuka ya kuwa kwasasa ya Morocco inatumia umemehahahaha.... wazo bonzo
kumbuka yetu kwa sasa inatumia diesel.........
We kwa akili yako unafkiri max speed hua inatumika ovyo ovyo tu😀😀😀😀😀kuna kitu inaitwa average speed na maximum speed...
pole ndugu
hivi vichwa vimetia nanga bandarini wiki hii>>>Kumbuka ya kuwa kwasasa ya Morocco inatumia umeme
ok. train ya Kenya, average speed yake ni 120km/hWe kwa akili yako unafkiri max speed hua inatumika ovyo ovyo tu😀😀😀😀😀
Wapi evidence???...mlimani mall yenyewe ni 35000 sq ft pekee...at a Rupa mall eldoret ni kubwaIn Africa. Je, hutaki kuamini?
Niletee link inayosema max speed 148 km/hr na iwe official sourceok. train ya Kenya, average speed yake ni 120km/h
maximum huwa inafika mpaka 148 - 160km/hr
hahahaha. Bado upo nyuma ya muda ndugu. Hiyo imepanuliwa. Na hapo DANUBE GSM ni Funitures shop pekee. Kama huamini acha, very simple.Wapi evidence???...mlimani mall yenyewe ni 35000 sq ft pekee...at a Rupa mall eldoret ni kubwa
hiyo ni ethiopia dogo siyo kenya.hivi vichwa vimetia nanga bandarini wiki hii>>>
View attachment 610164
vinangojea test.
Morocco prepares to test 'fastest train in Africa'
labda unaongelea light rail transit
Wataweza wapi hesabu kutwa kujifanya wazungu tu.sikia we mkenya gari ikisafiri katika constant acceleration kutoka dar to Moro =2.5hrs yaan Fanya 80km/hr divide by 200km afu in reality from dar to Moro ni masaa 4,OK
turudi kwenye tren ambayo inatembea 160km/hr divide distance of railway 300km= 1.87hr
ko hapa tumepunguza time,cost na distance ya kusafiri tatzo huelewe una lalamika tu
Ni muhimu kujipa matumaini, ni stages za maisha ya binadamu akikutana na janga kubwa kwanza anaaza na denial stage, then negotiation stage, hapa ndipo mlipo kwa sasa, kwanza mlipinga Tanzania haiwezi jenga electrical railway, baadae mlipoona inajengwa mkaingia hatuaa ya kujipa matumaini kwamba mtaweka umeme, ukweli ni kwamba, wale wakina Maina waliwadanganya baada ya kuona mnawabana sana, ila hakuna cha kuweka umeme wala nini, wachina ndiyo watakaoiendesha hadinwarudishe pesa yao, nani ataweka umeme katika kipindi hicho cha miaka kumi chini ya wachina?, mlishakosea songeni mbele, ila muwe makini katika miradi mingine msikurupuke tenaok. train ya Kenya, average speed yake ni 120km/h
maximum huwa inafika mpaka 148 - 160km/hr
kNi muhimu kujipa matumaini, ni stages za maisha ya binadamu akikutana na janga kubwa kwanza anaaza na denial stage, then negotiation stage, hapa ndipo mlipo kwa sasa, kwanza mlipinga Tanzania haiwezi jenga electrical railway, baadae mlipoona inajengwa mkaingia hatuaa ya kujipa matumaini kwamba mtaweka umeme, ukweli ni kwamba, wale wakina Maina waliwadanganya baada ya kuona mnawabana sana, ila hakuna cha kuweka umeme wala nini, wachina ndiyo watakaoiendesha hadinwarudishe pesa yao, nani ataweka umeme katika kipindi hicho cha miaka kumi chini ya wachina?, mlishakosea songeni mbele, ila muwe makini katika miradi mingine msikurupuke tena
fuatilia thread kabla kuburuka. Ethiopia inaingilia na wapi apa?hiyo ni ethiopia dogo siyo kenya.