Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Viwanda vitakuja Mzee,ngoja Sasa umeme uwe wa uhakika
 
Wacha kuropoka!
 
Tukipata maviwanda makubwa kadhaa huo umeme ungetumika hapahapa na usitoshe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Umeme wa uhakika ni "factor" muhimu katika kuvutia wawekezaji, lakini hiyo pekee haitoshi, Kuna mambo mengine yanahitajika yawepo, 1)Human capital, 2) Sera nzuri za nchi kuhusu uwekezaji hasa kuhusu Kodi, 3)Rushwa 4)Ukiritimba 5)Miundombinu ya usafiri na gharama zake, vyote hivyo ni muhimu
 
Najua wote humu tunajua kuhusu Morocco lakini sijui kama tunajua kuhusu new Casablanca au anfa new financial district in the city of Casablanca.. well.. nimekusogezea karibu ujionee mwenyewe vile mataifa yenzetu ya kiAfrica yalivyo serious kwenye projects zao . Take a look 👇 . NB nchi zingine ziendelee kupika jidipii zikiota kufika this levels
 
Aisee!
 
Kuleta viwanda? Kutoka wapi? Hakuna mjomba, inabidi tujenge wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…