Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].......kwa kweli povu limekutoka, hivi mwana 'Daslam' mwenzangu unajisikiaje kupost mapicha ya O'bey au masaki wakati ukitoka huko unaenda lala kinondoni hananasif.....??[emoji16][emoji16][emoji16], Anyway najua yote hiyo ni kutokana na 'uchawa' na kusifia sifia wakubwa, ama pia hii ni kutokana na athari ya ukomunist... utamaduni wa communist nations ni country or supreme leadership pride first, so huwezi challenge, na kwa hapa bongo tunafahamiana vizuri tu ni kundi lipi linapata kula yao kupitia uchawa. Ni ngumu ukiwa unatafuta hela yako kwa jasho then ukaona adha ya mvua kariakoo ama mitaro ya majitaka ilivyo katika hali mbaya mitaa ya Upanga then ukana hapa ku 'brag' na picha za maghorofa ya posta, huo ni ujuha.....by the way hii ni open platform, nikisifia sifia kwamba mambo iko poa kwa majiji yetu ilhali si kweli namsaidia nani...?? Nyie mnaopewa 'mabando' endeleeni kusifia sisi wanaume wa kweli tutawaumbua.....
 
Mkuu usitumie sana hisia kujibu hoja, usiwe kama Babu Tale mzee wa kununua Phd au Mwigulu mzee wa 'economic arrogance' kama kweli wewe ni msomi na umeerevuka take time to read and come up with concrete point, na si hizi points based on uchawa na uongo mwingi

 
We always unakuaga mjinga sinaga time ya kubishana na wewe. Expressway ina modes 3 za kulipia; cash, manual tolling card(MTC) na electronic tolling card(ETC). Anazungumzia gari zilizorejister kutumia ETC, si gari nyingi zinatumia hii mbinu
Haijalishi inatumia njia gani kulipia acha uchokoraa

Kwa hiyo ikitumia cash ama manual trolling card haiwi recorded au haiwi registered?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo picha ya mwisho hata kwa kuangalia tu kuna tofauti gani kati ya posta na kariakoo? Hiyo eneo dogo katikati ama
 
Haijalishi inatumia njia gani kulipia acha uchokoraa

Kwa hiyo ikitumia cash ama manual trolling card haiwi recorded au haiwi registered?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]
If it wasn't recorded or registered how would they know the number of users per day? Common sense bongolala
 
The distance between Posta and kariakoo haifiki hata mita mia tatu. Ni majina tu yanatofautiana but it's one and the same place
Kwahiyo unalazimisha mzee.? Anyways tell me the distance between your CBD and eastleigh. Je so eneo moja.? Si afadhali ya KK na Posta zinatengenishwa na Park
 
Hili ndio tatizo letu tunapenda kuaminishwa kwa propaganda za wazungu 😆😆😆 pamoja na vikwanzo vya ulimwengu mzima lakini jamaa wanadunda tu
You have such a limited and biased worldview. Magorofa si maendeleo. Hiyo still uliyoweka pekee ni tosha kukwambia kuwa hawataki ukulele hali halisi ya maisha yao. Sure, maghrofa yanajengwa, but it’s all just a facade!
 
You have such a limited and biased worldview. Magorofa si maendeleo. Hiyo still uliyoweka pekee ni tosha kukwambia kuwa hawataki ukulele hali halisi ya maisha yao. Sure, maghrofa yanajengwa, but it’s all just a facade!
Una picha au vid ikionyesha underdevelopment in n.korea au na wewe ni walewale wazee wa western propaganda.? Gorofas+barabara za lami+beautiful Parks and all those beautiful amenities that are the indicators of development, utasemaje si maendeleo.? Na tupo hapa tunabishana na wakenya 24/7 kupost hizo vitu na kwamba mwenye gorofa nyingi na barabara nzuri tunamtaja kama ameendelea kuliko mwingine.? Vipi we jamaa bhana.? Zimo kweli.?
 
North Korea hairuhusu entity yoyote kufanya research Au ku-record video kwenye maeneo mengi ya nchi yao. As a matter of fact, kama unataka kuchukua video footage ni maeneo machache unayoruhusiwa kufanya hivyo. Na kuna sehemu watalii hawaruhusiwi kufika kabisa. Sasa hiyo video nitaipata wapi? Na kwanini waweke hizo restrictions? Ni vitu gani wanaficha?

Sijasema kuwa ujenzi wa majengo Au miundombinu ni kitu kibaya . Nimesema ni FACADE! Authoritarian regimes wanaweza kufanya kitu chochote wanachotaka ikiwemo kujenga impressive buildings lakini maisha ya watu wao ni ya chini na matatizo mengi ya human welfare yanawatesa. USSR ni mfano mzuri.
 
Huna facts kaa kimya hizo ni porojo tu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…