The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Naona mshaelewa sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo 10 million ni number of frequency bongolala. Haimanishi kwamba 10 million different cars have used the expressway. Gani moja linawezapita hapo mara kumi kwa siku but kwa data yao they'll capture it as ten cars. Mambo rahisi mnashindwa kuelewa mitanganyika
Smells like jealousy here[emoji23]Bado hesabu inautata mkubwa sana na kunaonekana kuna udanganyifu mkubwa ili kutuliza munkar za wakenya na isionekane kama ni moja ya miradi ya ovyo kenya[emoji1787][emoji1787]
Ndio kitu tunajaribu ku reason hapa, inashangaza baadhi ya watz hawaelewi.Mfano mzuri ni Kigamboni bridge. Pamoja na njia nyingi ikifika muda wa 1800-2100 kuna foleni kwenye toll booth na kwa takwimu zao hao Wakenya hapo expressway yanapita magari mengi zaidi ya darajani halafu hakuna foleni!
Wewe bladfwakin hata simu huna alafu ndio unaongea hivi, mzee wa malaya wa buku 3 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa kwa 10m cars za hii expressway Nairobi ndo nimejua kwamba wadanganyika wana low IQ na mfumo wa masomo wa Tanzania ni wa kipuzi sana kama unatoa wanafunzi ambao hawajui kufikiria [emoji23][emoji23]
Pia nimeelewa kwa nini Danganyika ni nchi maskini wa kutupwa sababu wanainchi wana upungufu wa kimawazo na kuelewa.
Fikiria hawa wako mtandaoni ndio wamechanuka kidogo at least wanatumia internet imagine mdanganyika wa huko sumbawanga au ni kigoma jinsi ako nyuma kiakili na kimawazo?! Haikosi uchawi umeenea hayo maeneo sana sababu hawaelewi maisha
View attachment 2511605
Mchemshie hii statement akunywe kama supu labda ataelewa au kuamini [emoji23]Speed au distance btn vehicles ni relative, magari hayasimami njian kurundikana ili kuona yakiwa mengi unavyotaka (nb: angalia maneno yako niliyoyabold)
Nairobi huijui lakini unapiga kelele hapa kama kasuku. Sisi ndio tunaishi Nairobi wewe zoea kugoogle tu. Eti Baringo road 🤣🤣🤣🤣Sojaona hio show room kwa jina hilo baringo road wala mombasa road 🤣🤣🤣 show room imetoka baringo imehamia mombasa road 🤣🤣🤣🤣🤣 hata google hawatambui hio showroom nairobi naomba unitaftie uniletee hapa nasubiriView attachment 2511175
Kwanza unakubali nchi yako iko broke?Unafikiri kenya nikama tanzania mnadanganywa magufuli ako ofisini na mafiles, here we say the truth no matter how painful it is
Ichogal has proved to be a kondoo time and time again ata ukimpea benefit of doubt atakuonyesha tu ukondoo[emoji23][emoji23]Hao wanashangaa ni vichwa maji kama wewe who can't understand that those are frequencies but not individual cars.
Utaonea frequency ukiwa hapo JNIA ama[emoji23][emoji23]Mm ndio naelewa hivyo bila kujalisha gari hyo hyo imepiga trip nyingine, yn kwa frequency wanazodai ilibidi hizo gari zionekane.
Ichogal ana wivu na kenya anaeza faint anytime soon [emoji23] ngoja uskie bado abisheNairobi huijui lakini unapiga kelele hapa kama kasuku. Sisi ndio tunaishi Nairobi wewe zoea kugoogle tu. Eti Baringo road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FYI hio AMG GT 63 ndio hii hapa ikitoka Kwa hio showroom.
Broke but still richer than yours[emoji23]Kwanza unakubali nchi yako iko broke?
Anabisha na hata hajawai kufika Nairobi, anadhani kila kitu iko Google. Mshamba sana huyo.Ichogal ana wivu na kenya anaeza faint anytime soon [emoji23] ngoja uskie bado abishe
Kwani kenya moja expressway wanaongeza magari na ni hao ndio wanachukua pesa? Reasoning iliwatoka jamaaKama wakenya wenyewe wanashangaa ww ni nani usishangae 🤣🤣🤣🤣 akiki za kuambiwa changanya na zako
🤣🤣🤣🤣🤣 showroom imekosekana sasa umekuja kipoza machungu bado muna tabia za kudanganya watu dunia hii kaaaahMwarabu bandia aka Ichogal eti umesema hio showroom yako ya Baringo road iko wapi? 🤣🤣🤣 Sisi tunajua hii ya Baricho road.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mm sijawah fika au sioAnabisha na hata hajawai kufika Nairobi, anadhani kila kitu iko Google. Mshamba sana huyo.
Siku hzi na ww unachuki na mm au🤣🤣Smells like jealousy here[emoji23]
Uonyeshwe ndani Hadi nje na bado unalia. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 showroom imekosekana sasa umekuja kipoza machungu bado muna tabia za kudanganya watu dunia hii kaaaah