Hizi ni vitu obvious tunawashangaa nyinyi watanzania mnashindwa kuelewa simple concepts....eti tunapika data, eti Nairobi haina gari 10m bla bla blaHivi uko na akili kweli?, Punguza ujinga kidogo basi. Rekodi inayowekwa ni kila gari linapopita na linapotizwa pesa, wewe ukipita asubuhi utatozwa pesa, hapo itasomeka gari Moja limepita, ukirudi jioni utatozwa Tena pesa na itasomeka gari lingine Tena limepita, endapo siku hiyo hakuna gari lolote lililopita, katika records zao jioni watahesabu kwamba katika hiyo siku ni gari mbili tu zilipita na mapato yataonyesha ya gari mbili siku hiyo, sio gari Moja.
Choo zenyewe sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaeza kuta bill yake ni 10m ksh
Dereva utakuta alikua jaba πππWakulungwa wanavyopenda Sifa , Wameamua kupata sifa kwamba City Council ina gari zuri ila wakapotezea fedheha na aibu na kutokua na ustaarabu ku park ovyo hadi gari limefungwa tairi. Bora ange crop [emoji23].
View attachment 2510559
Population ya Nairobi haizidi 5M, Kama Nairobi iko na gari 10M, hiyo maana yake Kila mkazi mmoja wa Nairobi Hadi watoto wadogo na wakazi wote Kule Kibera na slums zingine, wanamiliki gari 2 kwa Kila mtu[emoji13][emoji13][emoji13]Hizi ni vitu obvious tunawashangaa nyinyi watanzania mnashindwa kuelewa simple concepts....eti tunapika data, eti Nairobi haina gari 10m bla bla bla
Shukran nishamjua mwenye nayoπππMinting aviation business in TzView attachment 2510724
Ukilala kibera, ukakosa chakula na ukanya kwenye plastic bag lazima kichwa kiwe kibovu.Hizi ni vitu obvious tunawashangaa nyinyi watanzania mnashindwa kuelewa simple concepts....eti tunapika data, eti Nairobi haina gari 10m bla bla bla
Hivi kumbe kuna pombe bri ni sawa na mshahara wa MtuView attachment 2510732
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
The expressway alone has 50k. What do you think the regular lanes have?Gari laki3 nu nyingi sana...unataarifa ya mamlaka?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Daah ni hatari sana...hivyo viwanja mi naogopa kwenda[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]Na watu wamekaa lisaa limoja na dakika kadhaa tu hapo[emoji23]
Wangekaa hapo saa nne ya usiku hadi hiyo saa kumi na moja wangekunywa mshahara wa Mwaka wa Mtumishi[emoji23]
Inategemea, 50K cars sio chache bado ni nyingi sana,Jibu zuri ni inategemeaThe expressway alone has 50k. What do you think the regular lanes have?
Kutokana maelezo ya mchina mwenye mradi kasema magari yaliopita na kua registered ni 10k na trips ni million 10 kwa miezi saba na makusanyo 2b kshππππ punguzeni ujinga na ufala sasa sikiliza maelezo kwa makiniHizi ni vitu obvious tunawashangaa nyinyi watanzania mnashindwa kuelewa simple concepts....eti tunapika data, eti Nairobi haina gari 10m bla bla bla
Kumbe inapitisha gari elfu kumi buana π€£π€£π€£ ama kweli maneno ya mkenya 100 chukua moja sepanalo mengine mbwagie mwenyewe π€£π€£.. kwahyo ni sawa na barabara ya magomeni kanisani-Sinza kijiweni via Tandale .? π€£π€£π€£Kutokana maelezo ya mchina mwenye mradi kasema magari yaliopita na kua registered ni 10k na trips ni million 10 kwa miezi saba na makusanyo 2b kshππππ punguzeni ujinga na ufala sasa sikiliza maelezo kwa makini
Siku zote nawasihi humu ndani mkenya muogope kama ukoma kwenye maneno 100 chukua moja ondoka na usigeuke nyuma hata mara moja π€£π€£π€£π€£ na hilo moja ulilochukua ukalitafakari tenaKumbe inapitisha gari elfu kumi buana π€£π€£π€£ ama kweli maneno ya mkenya 100 chukua moja sepanalo mengine mbwagie mwenyewe π€£π€£.. kwahyo ni sawa na barabara ya magomeni kanisani-Sinza kijiweni via Tandale .? π€£π€£π€£