Hio idadi umeitoa wapi 😆😆😆 mm mbona sikuelewi mm labda nikushauri fanya utembee ujionee achana na stori za kahawaKwahyo magari 65K-75K Ndio mengi sana?na ufinyu wa barabara nao unachangia kuanzia Kibaha kwenda hadi chalinze barabara ishakua nyembamba ndio inayoleta foleni
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
What's the AADT for the busiest road in Dar es Salaam?tuusan skia nikuelekeze, binafsi naijua Dar kila chocho wachana na hizi chocho za mjini .. hadi chocho za mitaa ya mbali huko mbande, pugu, chanika, bunju, kivule matembere mawili, kisemvule, mbagala mgeni nani huko hauniambii kitu, chanika mwisho+ Moshi baa and guess what mpaka kwenye hizo kunakuwaga na foleni.. na nakwambia hiv Dar Iko na namba kubwa ya magari kuliko mji wowote EA
Wacha upuuzi barabara zote kubwa DSM zinakuwaga foleni kubwa hadi kongowe uko.. hutembei, huijui Dar kaa kwakutulia.. by the way naishi Sinza, na Sinza pia kunakuwaga na foleni hadi barabara ya Tandale kulekea magomeni kanisani inakua na foleniKwahyo magari 65K-75K Ndio mengi sana?na ufinyu wa barabara nao unachangia kuanzia Kibaha kwenda hadi chalinze barabara ishakua nyembamba ndio inayoleta foleni
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mfugale alisema ya akadiriwa magari 65K yanapita morogoro road kwa siku wakati wanafungua mfugale interchange, na hio ndio busiest road in Tanzania ,sasa Nyang'au waseme wenyewe busiest road in Nairobi inapitisha gari ngapi kwa siku utashangaa hapa ..nilisoma mahali ni zaidi ya gari laki moja nanusu (Thika highway)Sasa kwann unapinga facts nazokupa mm na haziitaji ramli kupiga hesabu [emoji1787][emoji1787] au ww kila comparison unayoikuta google unaondoka nayo hata kama ni fake au inatumika kwenye vita vya kiuchumi
Mpuuzi mwenyeweNilichogundua ni kwamba wewe ni mpuuzi mmoja mwenye kasumba.. haya bishana na picha pia [emoji116]View attachment 2507680View attachment 2507681View attachment 2507682View attachment 2507684
Kama hiyo ndio busiest road Dar basi hamna kitu. Kenya, Thika road ndio busiest na yanapita 500k vehicles daily. Ikumbukwe Thika road haijaichia Mombasa road mbali na Mombasa road haijaichia Waiyaki way mbali.Mfugale alisema ya akadiriwa magari 65K yanapita morogoro road kwa siku wakati wanafungua mfugale interchange, na hio ndio busiest road in Tanzania ,sasa Nyang'au waseme wenyewe busiest road in Nairobi inapitisha gari ngapi kwa siku utashangaa hapa ..nilisoma mahali ni zaidi ya gari laki moja nanusu (Thika highway)
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wakat anasema ilikua mwaka gani na leo tuko mwaka gani au unafkiri hzi registration za magari mpaka zimefika EB na sasa tunaelekea EC very soon ni matoroli au??? Na hata nyerere road ni barabara iko busy sana even nelson mandela iko busy muda woteMfugale alisema ya akadiriwa magari 65K yanapita morogoro road kwa siku wakati wanafungua mfugale interchange, na hio ndio busiest road in Tanzania ,sasa Nyang'au waseme wenyewe busiest road in Nairobi inapitisha gari ngapi kwa siku utashangaa hapa ..nilisoma mahali ni zaidi ya gari laki moja nanusu (Thika highway)
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Huu ni uchafu gani?? Mxm
Eti 500k a day ntakunya hapa mpaka ubungo 🤣🤣🤣 thika inapitisha gari kwenye 100k sawa na morogoro road ambayo pia ni about 100k kwa sasa unataka kutudanganya humu ndaniKama hiyo ndio busiest road Dar basi hamna kitu. Kenya, Thika road ndio busiest na yanapita 500k vehicles daily. Ikumbukwe Thika road haijaichia Mombasa road mbali na Mombasa road haijaichia Waiyaki way mbali.
2021 sindio interchange imefunguliwa.Wakat anasema ilikua mwaka gani na leo tuko mwaka gani au unafkiri hzi registration za magari mpaka zimefika EB na sasa tunaelekea EC very soon ni matoroli au??? Na hata nyerere road ni barabara iko busy sana even nelson mandela iko busy muda wote
2021 sindio interchange imefunguliwa.Wakat anasema ilikua mwaka gani na leo tuko mwaka gani au unafkiri hzi registration za magari mpaka zimefika EB na sasa tunaelekea EC very soon ni matoroli au??? Na hata nyerere road ni barabara iko busy sana even nelson mandela iko busy muda wote
Thibitisha iyo idadi 500K imekua Jozi-Pretoria highway?Kama hiyo ndio busiest road Dar basi hamna kitu. Kenya, Thika road ndio busiest na yanapita 500k vehicles daily. Ikumbukwe Thika road haijaichia Mombasa road mbali na Mombasa road haijaichia Waiyaki way mbali.
Unajua tofautisha magari yanayopita ubungo interchange na morogoro road pale walizungumzia magari yanayopita ubungo interchange ambayo ni around 75k lakini haina maana kua ndio magari yote yanayopita morogoro road kwanza hapo tuelewane 🤣🤣🤣
Dar Iko na barabara 6 kubwa kutokea CBD and the're all busy .. na kati ya hizo barabara 2 kwa sasa ni six lanes Morogoro+Kilwa road.. barabara yenye foleni zaidi ni barabara ya Mandela road na pugu roadKama hiyo ndio busiest road Dar basi hamna kitu. Kenya, Thika road ndio busiest na yanapita 500k vehicles daily. Ikumbukwe Thika road haijaichia Mombasa road mbali na Mombasa road haijaichia Waiyaki way mbali.
Busiest road ni morogoro roadDar Iko na barabara 6 kubwa kutokea CBD and the're all busy .. na kati ya hizo barabara 2 kwa sasa ni six lanes Morogoro+Kilwa road.. barabara yenye foleni zaidi ni barabara ya Mandela road na pugu road
Leta takwimu zako kijana mimi nmeleta za Mfugale mwenyewe wewe kama unazako ziweke hapaUnajua tofautisha magari yanayopita ubungo interchange na morogoro road pale walizungumzia magari yanayopita ubungo interchange ambayo ni around 75k lakini haina maana kua ndio magari yote yanayopita morogoro road kwanza hapo tuelewane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kilo 5 apo ametubeba aisee,hata pretoria-Jozi hayajafika na ndio busiest road in AfricaEti 500k a day ntakunya hapa mpaka ubungo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] thika inapitisha gari kwenye 100k sawa na morogoro road ambayo pia ni about 100k kwa sasa unataka kutudanganya humu ndani