Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukisikia kingereza cha kubumba bumba ndio hicho...vocabulary zake hata ukizi-google,huwezi pata maana...ni ukatuni mwanzo mwisho.
hayo ndiyo mambo ya wakenya.....wengi....yaani ni kubum kuba funika funua
 
my ribs though....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yousou Ndour na Salif Keita wanaimba kwa kiingereza? And mind you, those are renowned musicians known all over the world
 
chokoraa Leo umejaliwa WiFi ya beach sasa ni kutapatapa tu.........jishushe
kweli kabisa....ni mwendo wakudandia tu miseleleko hapa nairobi city center kwa city garden party kwa mbali nakuona unaangaika hapo na hiyo tecno yako ya P2..[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…