Hawa ndio wale comedians ambao wanasema kuwa tumeshikilia uchumi wa Tz kwa kutumia bank zao embu tuone wako nafasi ya ngapi hapo.Tuendelee tusiendelee?
View attachment 2503981
Hamna uchumi hapo mkuu labda GDP tuu ya karatasi.Ukiona hiv.. ujue hali ni mbaya [emoji1787][emoji1787]
Wengine wako humu wakiimba wimbo wa GDP kubwa, lkn picha zao zengine wanazopost humu zinawaumbua.. mara apost sinia chafu la nyamba za mbwa.. mwingine apost magar kukuu ya '5 yrs ago'..barabara ndo hivyo hazielewek.. BRT imestack..yan ovyo ovyo hakuna muelekeo
Halafu huku ni uswazi kwelikweli vitu hivi hata kwa estate zao hakuna.DMDP dar [emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 2503995View attachment 2503996View attachment 2503997View attachment 2503998View attachment 2503999View attachment 2504000
Waambieni hao wakulungwa wakisikia neno uswazi huwa wanafikiria ni sehemu mbaya nadhani kwa taswira ya picha hizi wanaweza wakajionea vizuri jinsi uswazi kulivyo hadi kwa mpalange.DarView attachment 2504042View attachment 2504043View attachment 2504044View attachment 2504045View attachment 2504046View attachment 2504047View attachment 2504048View attachment 2504049View attachment 2504050View attachment 2504051View attachment 2504052View attachment 2504055View attachment 2504055
Nitake radhi bwana usitaje hovyo neno SGR bila kutanguliza neno electric eco friendly hayo maneno huleta heshima kwa neno sgr.says a danganyikan with no sgr
Ziko kitaa kabisa kama hapo ni yombo vituka na kuna nyingine za tandika pale mwembe yanga. Kitaa pako live sana.Hizi wameziweka mitaani?
Eti hakuna ushahidi Tanzania imesaini kuchukuwa loan Uturuki? 😂😂Ku request sio kupewa hvi ww mbona mgumu kuelewa 🤣🤣🤣 hata china tuli request lakini hatukuchukua mbona kitokana na masharti yao na hakuna ushahidi utapata tanzania imesaini kuchukua mkopo turkey never ever
Hivi, hujui hata yanayoendelea ndani ya nchi yako yet you make a lot of noise objecting everything!!🤣🤣🤣🤣🤣 1.9b for phase two ilitoka standard chartered 1.4b na serekali ikatoa 0.5b na ushahidi upo wa utiaji saini mkataba
Hivi wewe una matatizo ya akili?, Yarpi Markezi ni Contractor, wapi umeona "signing ceremony" ya kupokea pesa toka Turkey?, Wewe ni kichaa haupo sawa kichwani mwako.Hivi, hujui hata yanayoendelea ndani ya nchi yako yet you make a lot of noise objecting everything!!
Loan mliyopewa na waturuki ni kwa ajili ya phase three between Makutopora and Tabora, not phase two as you say. The deal was signed in October 2021
Tanzania Sign USD 1.9B Contract to Build 3rd Phase of SGR Railway
Tanzania signed the agreement for the construction of the third phase of the Standard Gauge Railway (SGR) connecting Makutupora to Tabora.www.tanzaniainvest.com
Yani inatumia nguvu nyingi kupinga ukweli wakati hakuna unachojua
Haki wewe kichwa aiko sawa sinjui umekosa chakula ama hukuenda choo?Eti hakuna ushahidi Tanzania imesaini kuchukuwa loan Uturuki? [emoji23][emoji23]
Niliambia mwenzako kwamba mtazunguka kwote na vijimaneno but the truth shall set you free eventually
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm
Tanzania on Tuesday signed a contract with Turkish firm Yapi Merkezi to build a 368 km section of standard gauge railway that is expected to cost $1.9 billion and will be funded by loans.www.reuters.com
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm
President Suluhu Hassan said Tanzania would borrow to finance the project.www.the-star.co.ke
And if that's not enough for you, here is a video taken during the official signing ceremony attended by your President
Kuna mtu alikua ananiambia wana hela sana hii benki sasa nimeamini. Naenda kufungua account hukuUmesahau na hii
You sure you want to go here? 🤣🤣🤣 Yani zote combined mnapelekwa teke teke na bank moja Kenya 🤣Umesahau na hii
Na Si mnafuata habari za Kenya msee.. habari nyingi ya Kenya huwa napata kwenuUkiona hiv.. ujue hali ni mbaya 🤣🤣
Wengine wako humu wakiimba wimbo wa GDP kubwa, lkn picha zao zengine wanazopost humu zinawaumbua.. mara apost sinia chafu la nyamba za mbwa.. mwingine apost magar kukuu ya '5 yrs ago'..barabara ndo hivyo hazielewek.. BRT imestack..yan ovyo ovyo hakuna muelekeo