Kuna jamaa ka post picha akikata tiketi ya Basi Kwa simu... Ameweka ka Itel cha toleo la nyuma sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio sinia tu, Pixel pia zinasema kuhusu aina ya device [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio kiwalani hukoHizi wameziweka mitaani?
Na sio device tu, wananunua “ashawo” kwa buku tatu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa subiri uone tuktuk za mombasa utasema labda mumbai india 🤣🤣🤣Order [emoji41]Hadi tuk tuk wame behave !
Sasa subiri uone tuktuk za mombasa utasema labda mumbai india [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2504170
20K kwa nusu saa? Maelezo zaidi tafadhali.Miezi kadhaa kabla mkulungwa flani hajaondoka nilikua napiga tizi na 20K kila siku kwa nusu saa kwenye mtaa huu [emoji41]
20K kwa nusu saa? Maelezo zaidi tafadhali.
Teargass kaingia na ID mpya.
better than Nairobi greenpark bus terminal!
I hope so , tho najua mwaka huu ujenzi lazima uanzeArenas? [emoji102]
Kiwalani wamependelewa sn.Ndio kiwalani huko