Unajua tu kuhusu Illinois hujui chochote kuhusu Shenzhen .. tulia uelekezwe sasa.. there are 1,777 companies based in Shenzhen .. these ar 5 biggest companies to watch ..
1. Tencent .. Asia's most valuable company with market capitalization of $750 billion, it's revenue was $73.5 billion in 2020
2. DJI, the world's leading drone manufacturing company, DJI now has 76% consumer drone in US and 70% of the global market
3. BYD electric car manufacturing company, the second in the global market behind tesla,
4. Royole
5. Making technologies pita hapa [emoji116]"Five Shenzhen-based companies to watch - I by IMD" Five Shenzhen-based companies to watch - I by IMD.
Shenzhen pia Iko na 4th largest container port on earth View attachment 2501693. Nimeona umeandika kwamba eti china hawana leseni za kuzalisha ndege za abiria [emoji1787][emoji1787][emoji1787].. kumbe huna ujualo.. hii nayo nini.? [emoji116]View attachment 2501696.. pita hapa [emoji116]China completes delivery of first homegrown passenger jet – DW – 12/09/2022.
Hiyo inaitwa deja vu ya reli ya mchinaTreni ishakua ya waturuki tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
And DRC will replace everyone in 60 years.... if they can get their shit togetherEthiopia and Tanzania will Replace Kunyaland,
Then Uganda will replace everyone in the region in just 10 years after they start exporting their Oil.
Some of you people are so uninformed it's pity. 🤣 🤣 🤣Huu ni uongo manzee na nafsi yako itakusuta .. Tokyo ni takataka tu kwa majiji ya China
🤣🤣 Kampuni za kuuza chipsi kuku Bro.? Mac Donald's.? Karibu kampuni zote umeweka ni ndogo tu hazina umaarufu huo.. hizi ni takataka 🚮.. huwezi kuzitaja kwenye sentence moja na Tencent au DJI.. respect the OGs .. Shenzhen is ahead of that Chicago in everything.. a City with 8 CBDs wacha mchezoAcha ujinga, hizi kampuni zilizopo Chicago zote ni World’s Leading companies, Multinationals.. zipo na operations duniani kote including China na hata Tanzania , wewe umeweka nini hapa ?
China imetengeneza ndege ya abiria ya kwanza mwaka 2022, trials on progress.. bado zina long clearance checklist ili ziwe commercially produced.
View attachment 2501709
Bullet train zilianza huko Japan 1960s wakati wachina bado wancheza kung-fu na kupiga kahawa na kalumatiWatu wameanza shule kitambo mkuu, imagine US wameenda mwezini wakati sisi tunapata uhuru,
Ndio hii kitu pia huwa nawakumbusha hawa vijana,
Kwa tuliosoma Physiacs tunaelewa Einstein theory , E=mc2.
Imagine US walipita na hii kitu miaka ya 1945 huko Japan wakashusha mzigo Nagasaki na Hiroshima ambayo ilikuwa ndiyo miji ya viwanda tegemeo kwa Japan wakati huo, ule mzigo hakuna mtu ana hamu nao hadi leo 2023, hii ilikuwa ni surprise kwa dunia nzima, that was almost 80 years ago.
Sasa ukisema leo China au North Korea ina Jeshi imara na technology kuliko US sababu they have developed some nuclear reactors recently uanamaanisha US stoped researching,
I hate war anyway. US apewe heshima yake.
Twende ground sasa Halaf uone iyo Japan inavyoachwa mbali mno.. vitu havigandi Bro.. 1944 alikua world leader ni UK but soon after 1945 akabadilika na kuwa US.. unaanzisha wewe na unazidiwa tuBullet train zilianza huko Japan 1960s wakati wachina bado wancheza kung-fu na kupiga kahawa na kalumati
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
We jamaa unajua maglev trains?Bullet train zilianza huko Japan 1960s wakati wachina bado wancheza kung-fu na kupiga kahawa na kalumati
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nimekupa nafasi uitetee Tokyo sasa ..Some of you people are so uninformed it's pity. 🤣 🤣 🤣
Dude, Tokyo is faaaaar ahead of Shenzen. There are only 2 cities in this world that can compare to Tokyo - London and New York. Some of you know nothing about what makes a city great.Nimekupa nafasi uitetee Tokyo sasa ..
Duh!! mzee unaakili kweli? London ilikuwa miaka ya 70s. Achana na mawazo ya kikoloni mzeeDude, Tokyo is faaaaar ahead of Shenzen. There are only 2 cities in this world that can compare to Tokyo - London and New York. Some of you no nothing about what makes a city great.
Na mbona unawapa sifa the US beneficiary wa top German scientists?Watu wameanza shule kitambo mkuu, imagine US wameenda mwezini wakati sisi tunapata uhuru,
Ndio hii kitu pia huwa nawakumbusha hawa vijana,
Kwa tuliosoma Physiacs tunaelewa Einstein theory , E=mc2.
Imagine US walipita na hii kitu miaka ya 1945 huko Japan wakashusha mzigo Nagasaki na Hiroshima ambayo ilikuwa ndiyo miji ya viwanda tegemeo kwa Japan wakati huo, ule mzigo hakuna mtu ana hamu nao hadi leo 2023, hii ilikuwa ni surprise kwa dunia nzima, that was almost 80 years ago.
Sasa ukisema leo China au North Korea ina Jeshi imara na technology kuliko US sababu they have developed some nuclear reactors recently uanamaanisha US stoped researching,
I hate war anyway. US apewe heshima yake.
Maisha yao wamezoea kukariri 😆😆 eti london yani nimecheka sana hio newyork ikae mkao wakula wa shenzen nimeiangalia yani ni motooDuh!! mzee unaakili kweli? London ilikuwa miaka ya 70s. Achana na mawazo ya kikoloni mzee
[emoji1787][emoji1787] Kampuni za kuuza chipsi kuku Bro.? Mac Donald's.? Karibu kampuni zote umeweka ni ndogo tu hazina umaarufu huo.. hizi ni takataka [emoji706].. huwezi kuzitaja kwenye sentence moja na Tencent au DJI.. respect the OGs .. Shenzhen is ahead of that Chicago in everything.. a City with 8 CBDs wacha mchezo
Good observationNa mbona unawapa sifa the US beneficiary wa top German scientists?