Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jielemishe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Angalia matajiri wanaishi wapi kwanza

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 

Imekaa Poa sana, but wewe unadhani Japan au US hawawezi kuanzisha na kujenga miji mipya kama hii ya China ?
hata waarabu wanajenga, hata Egypt wameanza kujenga.
Nchi za Ulaya na Marekani that’s not their priority, plus capitalism, they don’t have that free land.
 
[emoji23][emoji23] si nimesema ni za ofisi yangu hapo Dar, zimetoka kwa ofisi zinaigia kwa mfuko kazi ya siku moja tu.Asante usisahau hapa ni utani tu[emoji23][emoji23] mimi bila Tanzania sijui nitaishi aje[emoji23] monopoly
Mmh kilichokua kinakuleta Tanzania ni KQ inayojifia, anza kuaga 😂😂😂
 
Imekaa Poa sana, but wewe unadhani Japan au US hawawezi kuanzisha na kujenga miji mipya kama hii ya China ?
hata waarabu wanajenga, hata Egypt wameanza kujenga.
Nchi za Ulaya na Marekani that’s not their priority.
🤣🤣 HAWAWEZI.. hizo nchi za Kiarabu zinajitutumua kujenga vimiji kimoja kimoja.. kule UAE mji tajika ni Dubai tu, Qatar ni Doha tu, china ni nchi nzima mzee and mind you China Iko na over 600+ cities, and guess what kati ya hayo majiji 600+, majiji 100+ ar of that kind..
 
Uzi wetu huu si mchezo aisee, una viewers 20m [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 2500944

Hapo utaona wakundustan watakuja na takwimu feki za internet subscribers na penetration huko Kundustan.
Forums zao hakuna kitu huko, mitandaoni kote social media platforms tumewapiga nje ndani.
 
We jamaa suala sio city suala ni standard of living...wewe kama unaishi Manzese pale mahali kuchafu unaanzaje kumtambia mtu anaeishi kijijini machame huko kwenye mjumba mkali wenye kila kitu na yuko kijijini?
Sasa angalia Maosha ya mjapani mmoja ni bora kuliko maisha ya wachina watatu kw wastani...

Mjapani mmoja anamaisha mazuri kuliko wachina 3

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Nchi kubwa
 

Attachments

  • Zz8ogKvh.jpg
    101 KB · Views: 33
  • FdO--glXkAAsYZU.jpeg.jpg
    356.8 KB · Views: 31
  • 4gbkWu7h.jpg
    129.5 KB · Views: 33
  • wJ4cpoEh.jpg
    174.7 KB · Views: 33
  • CeJmEsTh.jpg
    112.3 KB · Views: 33
  • jzzQfFRh.jpg
    111.1 KB · Views: 36

Well, let me give you simple facts ,
China GDP -$17t- Population 1.3b
US GDP $25t Population 330m
Japan GDP 5t- Population-120m

Hapo unadhani nani ni masikini?

Kama hujui China ina watu wengi sana masikini wa kutupwa vijijini, ukiona wanajenga hizi majengo marefu ni kwa ajili ya kuhudumia population kubwa waliyonayo..

Sasa unataka UAE yenye watu milioni 10 au qatar yenye watu milioni 3 wajenge majiji mengine ili akakae nani ?
Priorities,
China wako vema Sawa, ila levels zao ni kina South Korea, Brazil.
Mchina ni mhindi aliyechangamka.
 
South Korea wako levels kk huwezi wafananaisha na wachina

Wachina pia wameendelea sana huwezi wafananisha na wahindi.
Mhindi hali yao duni tu kama waafrica

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
But kwa maendeleo bro i think china kwa sasa iko mbali sana na china ndio imekua kikwazo kikubwa sana kwa america kwenye maendeleo na technology wanasema kila mfalme na zama zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…