Acehni wehu nyie maccm.Na jinsi mnapeana support ktk ujinga mnatia aibu.Umenirukia sijui ni chadema?Chadema sio mtazania?
Mlivyo wajinga mmeweka Lushoto na Matema.Nazo ni Dar? Au mtasema ni capital city kumaanisha ni nchi, sasa hujanipa hoja hapa. Hayo mazingira ya asili utajisifu nayo nini?Hata wanyama porini wanaweza jisifu nayo.Acheni undezi,mnatuaabisha wapuuzi nyie halafu mnashangilina km majinga.Onyesha kitu kinahcoonyesha binadamu waliishi tanzania na sio wanyama na mimea.Kuna nchi za ulaya wanaringia mafanikio bila kuwa na hata na robo ya rasilimali za tz.Ndio maana leo wanakuja kuona kwa pesa. Km hamjui nini mnashindana nacho na wakenya ni vipi sasa ,mtajua km mmeshinda?Wapuuzi sana nyie ndio maana, akili zenu ni kupiga wachaga vita, sasa wakenya mtawapiga vipi vita wakati polisi wenu hawafiki kule?wakati waandishi wenu uchwara hawafiki kule?
.
Umefura kama mkizi? Vipi kuna jamaa yako katumbuliwa mahali nini?
Sikiliza ndugu, hapa tunaelimishana na wakenya ambao baadhi yao wanadharau za kishamba. Wao mara nyingi hupendelea kuhamisha magoli na kukimbilia kuweka picha za kericho sijui Mombasa, wakati hii mada inahusu Nai na Dar. Sasa, na sisi tunajibu kwa kuwaonesha kuwa tunayo mashamba ya chai Tanzania, tatizo liko wapi?
Wewe unaona sawa hawa jamaa wakipiga domo kuchafua taswira ya nchi yetu? Unajidai kutetea wachagga unaona sawa hawa jamaa wakisema mlima kilimanjaro upo kenya? Huoni kuwa wao kujitangaza kuwa mlima uko huko na watalii wengi kushuka JKIA (kwa sababu ya uongo wao), mapato ya KIA hupungua kwa kiasi kikubwa? Watu wetu wanaotegemea sekta ya utalii huathirika, na hata kama watalii wakigundua kuwa mlima uko Tanzania, teyari wanakuwa wameshatumia kiasi kikubwa cha fedha za kigeni Kenya.
Wewe hujiulizi kwanini wakenya wengi wanakesha hapa kila siku, unafikiri ni watu amabo hawana kitu cha maana cha kufanya? Kwa taarifa yako tuu wakenya wanatumia sana 'publicity' kukuza uchumi wao na kitu kimoja wanachotumia ni kutuchafua watanzania. Ukienda Nairaland.com wapo, Skyscrapercity.com wapo, kote huko wakijitangaza na hii wameifanya kwa miaka mingi.
Ukienda wikipedia wamekuwa wakiweka picha mbaya za mji wetu wa Dar, wakijua fika kuwa mtu yeyote ambaye haijui Dar ataenda huko kupata taarifa. Watu tumejaribu mara kadhaa kuweka picha nzuri lakini jamaa wanazitoa na kuweka zilezile za zamani, hiyo ndo akili ya wakenya.
Ndiyo maana watu tumechagua kiwanja hiki hapa kuendeleza mapambano kwasababu kuu mbili;
- kwanza, hawawezi badilisha kilichobandikwa na mtu mwingine kama wafanyavyo wikipedia.
- Pili, Google bots are camping at JF servers, waiting for new pages to index (every second).
Kwa hiyo chochote kinacho bandikwa hapa kinakuwa 'indexed' haraka kwasababu 'parameters' nyingi za 'google algorithm' (domain age, content uniqueness and freshness, ip diversity and so forth) JF inakidhi na kufanya iaminike kama 'power house' katika East Africa.
Najua ndugu, unachukulia poa mada kama hizi na wachangiaji wake lakini usishangae kukuta wakenya tunaolumbana nao hapa ni kikosi maalumu cha serikali. kwahiyo wewe endelea kupigia tarumbeta Chadema, na sisi tutaipigia Tanzania.