Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bei ya mayai crate tz ni 6800 sawa na ksh360 ila kwao wanauziwa 580 mumaeza ona tofaut ilivo kubwa sana ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Si unajua serikal yao saiz ni ya mahustlers.. na hustler mkuu ni Ruto tajiri alietokana na kuwa mfugaji wa kuku na muuza mayai.. kaona atumie fursa kuongeza bei atajirike zaid
 
Nyie msioogopa kuhoji imewasaidia nn? Hamna njaa? Unemployment rate haiko hi? Mmemaliza slums? Hamna ukabila? Hamna magonjwa ya aibu kama kipindupindu na gono? Bora kutohoji serikali lkn mahitaji muhimu mnapata aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ