Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kibera hoyeeeeeee!!!!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
exactly...thats what I meant... nilijua tu ilikua fisi kavaa ngozi ya kondoo...these are ur true colors...
 

Ngosha, sasa hizi data si ndio tuliambiwa ni SIRI - usije ukatuponzamo kwa kweli, yaani unawataja na walio toa mahela hadhalani kweli? iiiii
 
mungu pokea roho za wakenya waliofariki katika ajari hiyo.

NB:
kwa mwaka huu hii itakuwa ni mara ya tatu au nne kwa jengo la gorofa kuporomoka na kuuwa watu nchini kenya.

hapa lazima kutakuwa na tatizo la kitaaluma katika secta ya wahandisi wanaosimania ujenzi wa majengo nchini kenya.

wakenya kagueni vyeti vya kitaaluma vya hao wahandisi wenu wanaosimamia ujenzi wa majengo yenu ya gorofa.

haiwezekeni majanga ya aina hii yawe yanaikumba kenya zaidi kuliko nchi yoyote EA.
 
Hawa wakenya ni wakuwasamehe tu, halafu wanafaninsha elimu ya bongo na kenya, shm.

Madai yao kujua english ndo kila kitu, lol, hawajui kua siku zote fikra sahihi huja kwa lugha sahihi, yani kama wewe ni mjaluo huwez kuwaza kwa kimakonde.

Hebu nenda china, france, korea, india, german, and so many many other developed countries uone ka darasani wanatumia english halafu wewe umelala hapo kibera na english yako kichwani, mko wajinga sana, ulimbukeni utawaua, yani mnavoringa na hiyo english as if its a very big deal au ni lugha iliyotokea kenya au as if nyie ndo wakwanza kujua english dunia nzima. Halafu english yenyewe mnaiongea kwa lafudhi ya makabila yenu, yan ni kazi kutofaitisha mnapoongea english na kijaluo or your other mother tongues.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…