Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katika viwanja vya ndege vipo smart duniani basi JNIA ni mmojawapo, hakuna wizi kabisa na ni ngumu kuiba pale mana kuna security kila angle na camera zake 360 every corner, lkn pia Watz hatuna tabia ya udokozi dokozi kama walivyo wa Nigeria au Wakenya. Huyo aliibiwa airport zingine huko huenda ni JKIA pale pale walifungua begi lake wakaiba zen akagundua hilo akiwa JNIA, na ndio maana kuokoa hilo abiria anashauriwa kufanyia wrapping begi yake cz Airpot kama JKIA au Bole au ile ya Nigeria ni very dangerous airports.
 
Hii Rift Valley Tea walisemaga ni ya nan?
Oneni mali zao zinapigwa mnada kisa hawalipi michango ya NSSF
 
Magufuli kaongoza miaka (5) mitano tu, na hapa tunaambiwa kuwa hiyo Butiama College miaka (13) kumi na tatu haina mwanafunzi.

Embu nidadavulie kuhusu hii miaka 13, Magufuli anahusikaje?
Ana chuki na Magufuli balaa, hapa juzi kumetokea skendo la viwanja Mwanza jamaa akasema wateule wa mwendazake, bahati nzuri Simon akampa ushahidi kwamba wahusika wote wameteuliwa na mama
 
Hebu weka link hapa kumnyooshe. Wao ndo wezi. Nairobi inaongiza kwa kuibiwa mizigo Africa
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]hela zimeliwa tu bila tatizo hapo...kiulaini kabisa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sina uhakika. Hio 400m annually ni sawa na 33m kwa mwezi.. sijajua hio hela kama inajumlisha na mishahara.. roughly kama kuna walimu zaid ya 30.. bas hio ndo total mishahara yao, averagely 1m kwa kila mwalimu. Na hapo wanasema kuna wengine wapo masomon ya PhD
 
Haina haja ya kumtajataja mtu,Tatizo watanzania wengi hua wanaona barabara majengo mazuri ya serikali ni hisani ,
Yani bado tu hadi leo serikali ikijenga shule ama hospitali watu wanaona ni hisani wamefanyiwa...Hawajui serikali inatakiwa iwatumikie wananchi na kutatua changamoto zao kama wajibu wake...
Na ndio maana kila siku watu wanaimbaimba za kusifusifu sana mambo fulani as if ni wamepata upendeleo sana kufanyiwa hizo miradi.

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…