Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alikuta chuo kinajengwa akakataa kutoa fedha za uendeshaji! Ila akawa busy kujenga vyuo Chato!
Chuo hakina wanafunzi tangu 2010 kaka.
Mbona kina samia wanakopa wanapeleka zanzibar afu tunalipa bara. Nao ni upuuzi bro.
Kikwete kijana WAKE alidakwa china alikuwa na ngada. Jk akafidia kukamatwa kwa mwanae kupigwa ujenzi wa Bomba la gesi nusu ya ele zililiwa na china. Vipi hio.
 
Since mji wa serikali umeanza kutoa taswira.. na kwa ukubwa wake . I'm looking forward to compete it with Abuja Nigeria.. oneni kwanza ninachosema hapa πŸ‘‡na. Nikisema mji wa serikali is of the same size to NAIROBI CBD+Eastligh+Park lands combined.. namaanisha hivi.. πŸ‘‡our gvt City 6 kmΒ² vs πŸ‘‡7kmΒ² area.. oya wewe mwathadan. Lete mkun*** wako hapo .. ujionee mana ulinitukana wewe.. note: All the area of gvt city is planned unlike hiyo takataka yenu..
 
Umeona BRT hiyo bado inachangia barabara kabla njia yake katikati haijarasimishwa. Kuna mkundustan anasema BRT ya Dar ni one Direction [emoji23]. Hii picha impe salamu.
Hapo katikati itakuwa BRT au ndio barabara ya kulipia?
 
Sukuma gang wameguswa 😁😁😁😁😁😁
 
Alikuta chuo kinajengwa akakataa kutoa fedha za uendeshaji! Ila akawa busy kujenga vyuo Chato!
Nimeanzisha mada kule jukwaa la Hoja mbalimbali ya ishu hii ya Chuo na wengi wamemlaumu Mwendazake kwamba ndio alisbbish Hilo so Mkuu uko sahihiπŸ”¨πŸ”¨.

Alitutia hasara sana yule mtu
 
Alikuta chuo kinajengwa akakataa kutoa fedha za uendeshaji! Ila akawa busy kujenga vyuo Chato!
Alikuta chuo kinajengwa aka kataa kutoa fedha za uendeshaji.

Hicho chuo kilianza kujengwa na kuisha mwaka gani mpaka kiwe na miaka 13 bila wanafunzi?

Vyuo vingapi vilijengwa chato ndani ya miaka yake mitano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…