Sgr yenu ni mombasa to malaba na mpaka leo haijafika malaba mnatia huruma na hakuna nafasi tena ya kuifikisha malaba tumeshachukua Uganda na kumweka mfukoni.It is not under construction yet.., yaani bado ujenzi haujaanza, sio kale kenu ka 300km ujenzi ulianza April 2017, hadi wa leo hamjatumia SGR train.., jiangalie mlivyo., ukianza kitu unakamilisha kwa wakati., narudia, omba sana msife kabla ya kutumia ama kushuhudia SGR nchini kwenu..,
Football stadiums na bus stations huzungumzii tena au unampa unafuu asikimbie moja kwa moja?Picha zako zimeisha. Mimi nataka tuende kimoja kimoja.
Tunaanzia kwenye nini?
1. Three Levels Interchanges
2. SGR
3. BRT
4. Sidewalk
5. Bridges
Haya sasa nakusubiri
Sina uwezo na time wa ku clarify a point na mtu kama wewe...Unajisahaulisha siyo? Kwanini unalalamika ukiona kitu kama hiki?
View attachment 2493142
Huna uwezo wa kununua T-Shirt iliyoandikwa VISIT TANZANIA? Nitakununulia mimi.Sina uwezo na time wa ku clarify a point na mtu kama wewe...
Mbona unaua inzi kwa rungu mkuu unampa barabara kuubwa mpe barabara ndogo tuu kama Sam Nujoma uone atakavyokimbia.Stretch ya barabara kutoka kivukoni hadi Kibaha ambayo ina BRT plus Highway yenye urefu 40Km Hii pekee inajibiwa na barabara gani hapo Mombasa?...
Barabara ya Kilwa nayo Ina BRT 20KMS flyovers 2
Sina haja ya kutaja barabara zingine kwanza niambie stretch ya maana hapo Mombasa ya kujibu mapigo kwanza
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hapo utakuwa unamuonea bure tuu ni kama unamwambia tuoneshe uchumi wenu yeye anakimbilia kwenye makaratasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuoneshe Three Levels Interchange. Hatutaki maneno mdogo wangu. Weka naweka.
Mzee hebu nakusihi uachane na kutukana marehemu. Mtu alishakufa bado unaendeleza vita. Huo siyo uungwana.Upuuzi wa JPM
Revealed: Butiama college has spent 13 years without students
The college has lecturers and the head of the college but no student was ever enrolled at the college during the entire period.www.thecitizen.co.tz
Ukitaka kuua adui yako tumia silaha nzitoMbona umaua inzi kwa rungu mkuu unampa barabara kuubwa mpe barabara ndogo tuu kama Sam Nujoma uone atakavyokimbia.
Hawa watu ni washamba sana hapo walipaswa kuandika Bus lane na sio BRT. Akili zao ni za kuigaiga vitu vya walioendelea tuu[emoji16]Project hii iliishia wapi?
Kwa hiyo jpm alikua raisi kwa miaka 13, acha chuki mtu kashafariki. Kila mwanadamu anamapungufu. Hakuna mkamirifuUpuuzi wa JPM
Revealed: Butiama college has spent 13 years without students
The college has lecturers and the head of the college but no student was ever enrolled at the college during the entire period.www.thecitizen.co.tz
Alikuta chuo kinajengwa akakataa kutoa fedha za uendeshaji! Ila akawa busy kujenga vyuo Chato!Kwa hiyo jpm alikua raisi kwa miaka 13, acha chuki mtu kashafariki. Kila mwanadamu anamapungufu. Hakuna mkamirifu
Alikuta chuo kinajengwa akakataa kutoa fedha za uendeshaji! Ila akawa busy kujenga vyuo Chato!
Mwanzoni nilikua na admire kale ka CBD ka kigali the way kalivyo green and somehow planned lakini kuanzia gvt city ilivyo anza ku take shop saivi I'm looking forward to compete DOM to Abuja Nigeria .. kitu usichokijua ni kwamba DOM government is of the size to NAIROBI CBD+Eastligh+park lands combinedDar, Nairobi, Mwanza, Kigali, Kampala yote hiyo ni miji ya kale haiko organized, ni miji ya hovyo tu linapokuja suala la mpangilio wa mji. Dodoma inakuja kuikomboa EA na cc tuonekane wastaarabu.
Hii ni kawaida lil man
[emoji23] JF imejaa tu machiziMwanzoni nilikua na admire kale ka CBD ka kigali the way kalivyo green and somehow planned lakini kuanzia gvt city ilivyo anza ku take shop saivi I'm looking forward to compete DOM to Abuja Nigeria .. kitu usichokijua ni kwamba DOM government is of the size to NAIROBI CBD+Eastligh+park lands combined
Hebu mzee tusianzishe ugomvi hapa. Wengine ni wafuasi wa Magufuli. Tutatibuana hapa. EboAlikuta chuo kinajengwa akakataa kutoa fedha za uendeshaji! Ila akawa busy kujenga vyuo Chato!
Wacha kujitia umuhim we mpumbavu hiyo interchange yenu inaizid nini Jonh kijazi interchange.? Au ni hayo maduara duara.? π€£π€£.. ground level ya kijazi interchange there are two bridges .. kwanza ni six lanes interchange (one and only in EA) .. πWacha tulinganishe a technical college msalaba project vs Museum Hill interchange π π π π π π π π
View attachment 2493026
ama Southern Bypass interchange
View attachment 2493028
Unabisha au.? Twende ground.?[emoji23] JF imejaa tu machizi