Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar, Nairobi, Mwanza, Kigali, Kampala yote hiyo ni miji ya kale haiko organized, ni miji ya hovyo tu linapokuja suala la mpangilio wa mji. Dodoma inakuja kuikomboa EA na cc tuonekane wastaarabu.
Kwa hizo miji umetaja, Dar ndio mji hovyo sana hapo ikifuatiwa na Mwanza, eti utaje Kigali sentensi moja na Dar, Mwanza na Kampala, uko na kichaa mjukuu., mko hovyo sana, wacha kujiliwaza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Jamaa bado anakomaa na Mombasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio Dar hiyo...,
 
Njoo na Mombasa yako uchanganye na nairobi lakini hamtokaa muifikie Dodoma kwenye suala la makazi mpaka dunia inaisha

View attachment 2492740
Mmezoea uswazi, kitu kidogo kama hii(makazi ya Dodoma) inawashangaza mnachanganyikiwa kishamba, tulizichoka..., bladfwakinπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Hamtaona such density of organized estate kwa hii kizazi yenu, ng'o!πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯






 
Uozo wa Nairobi unajibiwa hapa

Your browser is not able to display this video.
 
Mombasa pekee ikija makazi hamna jibu kwake na mnabweka na Ka Dodoma! kweli watu bado sana, ndio jua inachomoza Tanzania, hawa watu wako nyuma sana kama Dodoma inawashangaza hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Makazazi ya kawaida Mombasa...





Appartments

Mixed...,
 
Unaongelea vimiji ambavyo km1 tuu ushatoka nje ya mji ndio ufananishe na Dar, unaumwa Mavi wewe. Kati ya hivyo vimji hakuna hata kamoja kenye BRT, cable stayed wala electrifitried SGR, sasa hapo tunaongelea miji au vijiji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dar tunaijua yooote.., niondolee upuzi mjukuu., Ukubwa wa eneo lililo jengwa ni makazi uchwara(uswazi) na wingi wa watu, nyambaff, hayo umetaja hayagusi hata robo ya Jiji, bladfwakin kabisaa😜🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Jamaa bado anakomaa na Mombasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jibu bado hamna, tuwasaidie vipi?.., mmechoka kishenzi, hamna lenyu.,😜😜πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯🀣🀣
 
Usingeleta hii picture ya miaka 40 iliopita ningekushangaa sana, huoni kama hapo ni village kabisa then ndio unatumia kujiconsole na uchafu wenu wa CBD πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio vile Dar ilivyo sasa hivi., asante kwa kukubali Dar ni village, miaka 40 hiiπŸ‘‡πŸ‘‡ eneo ilikua nafuu, uwanja msafi na nyasi ya kupendeza ila kwa sasa mmesambaza ufukara wenu kutoka vijijini hadi mjini na uwezo hamuna πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…