Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu tuweni serious hivi mtu akiitwa juu mawinguni tunajuaje, mwamba alikua active mno lakini over sudden tu hayupo hata kucheckin mara moja moja, hii imekaaje sababu alikua active mno
Dah sasa kwa hii msg umefanya nikose raha kabisa mana me nkawa najua ni wewe mkuu.
 
JF kwenye ku remember password bhana.. Ahh

Bhas tu.. ID zinapotea hivi hivi..
 
Msaada kwenye tuta.

Hivi hapo wanatengeneza nini, gari ama a moving kiosk?
 
Tanzania ilianza kutumia hiyo “Visit Tanzania” tangu 2011 kwenye nguo na uwanja wa Sunderland Afc.

Ficha ujinga wako.
Hawa walikuwa wanadhani Tz ni level yao, yn JF imewatoa kizani mno, waishukuru sn JF lasivyo wangekufa kihoro mana media zao zimewaongopea mnoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iyo Mall ni kubwa na inavutia sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
First time kwenda huko 2017 nlipotea ndani sipati exit.. ilibidi niulize security njia ya kutoka nje, parking kutafuta gari lako especially weekend ni kibarua, litasumbua kutrace especially likifanana na magari mengi type yake pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…