Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu tuweni serious hivi mtu akiitwa juu mawinguni tunajuaje, mwamba alikua active mno lakini over sudden tu hayupo hata kucheckin mara moja moja, hii imekaaje sababu alikua active mno
'Akiitwa juu mawinguni' ndo inakuaje?
Si mtu akifa anabaki kaburini kwanza.. suala la kwenda mbinguni au jehanam, kwenye ukristo, ni mpk Yesu arudi au siku ya unyakuo ndo mchambuo wa kwenda jehanam na mbingun unaanza? Au ndo hata mambo ya dini nayo siielew
 
Imebidi nigoogle bible nipate kaelimu ya dini 😎
 

Hili sio Bus, ni gari la mizigo likiongezewa mzigo mwingine wa vifaa vya ujenzi[emoji23] likabebe mafuvu in Ichoboy voice .
 
Huyu akichukia kiti atawasumbua sana wakenya ekeni haya maneno kama akiba
 

Mdau amepotea sana asee sijui yuko wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…