Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣 Ngoja nikumalize kabisa .. Busisi ni six Lanes bridge na ni cable stayed bridge .. πŸ‘‡.. Ili mufikie hizi level labda ni miaka 100 ijayo ..🀣🀣🀣
 
Nchi ya city 1 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini kwenye international departure terminal mmejaza cities zetu multiple times
 
Kwahiyo unahisi mimi sijui? Nimekuuliza hizo DMUs za commuter rail zinatoka wapi kuelekea wapi?
Hapa tumewapiga bao, hakuna jibu Dar is slum..., (Nairobi Metro service Train - Commuter)., inafika parts of North, East, West na South ya Nairobi Metro..

SGR station.., (Commuter train to CBD)



Kahawa Railway Station.., towards Thika (North East of Nairobi).., inaambatana na Thika road..,


Syokimau Station..., South East of Nairobi, along Mombasa road


Imara Daima Station.., station ya kwanza kabla kufika Syokimau


Embakasi Station (Upande wa Eastlands)


Athi River Station.., baada ya Syokimau


Nairobi Central Station boarding bay (CBD)


Kikuyu Station (West of Nairobi)



Ruiru Station.., (baada ya Kahawa Station)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…