Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuuliza unajua hilo?
Maana China yupo kwenye kundi letu pia.
So kwa hizi akili zako uchwara mko level moja na China? Kenya sio wenzenu jua hivyoπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
So kwa hizi akili zako uchwara mko level moja na China? Kenya sio wenzenu jua hivyoπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hebu tuambie ni nchi ngapi hapa Africa middle income nchi zao zinanjaa?
 
Hii takataka si chochote kwa standard za JNIA..
Banda la kuku with cosmetics aka mabati Godown eti?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ndio ufananishe na hii complex..., JKIA ikiwa Tz itakua a town hivi, Baba levo kawaelezea alicho shuhudia bado unabweka bweka humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
The only difference between these two pictures is JKIA ni jengo la duara while JNIA ni jengo mstatili ..
 
Kalilie kwa choo, hauna lolote wewe, ni domo domo tu nimekuzoea kilaza...,
Huna cha kujitetea na ndio mana ulitafuta hizo picha za juu .. ukasahau kwamba ulianzisha disc kwa picha za ndani ya jengo. Wewe ni mfa maji
 
Huoni hata aibu. Shenzi type
 
Ni nchi ngapi hapa Africa za LOWER Middle income zimetajwa kukuwa na watu wengi fukara wa kutupwa kando na Nigeria?
View attachment 2488876
Unaleta Taarifa wakati Tanzania ikiwa LDC. Leta Taarifa za sasa. Si unajua sisi ni middle income country. Au umesahau?
Sasa leta list ya nchi zilizopo Middle Income watu wake wanakufa na njaa.
 
Ni hivyo hivyo ndio North korea inaamini USA wako, na nyie ndio North Korea hapa Africa, mlikua mmekandamiza vyombo vya habari ili kueneza propaganda na kuficha ukweli, sasa tumewaumbua na kuanika kila kitu mnatapatapa mkijaribu kutafuta pakutokea na kujiliwaza tu..., google earth, World Bank, Knight Frank, IMF, CoG, your TBS na kadhalika zimewamulika, na pia Mama Samia wa dini mpenda ukweli..., hamuna lenu nyie, jikubalini tu, hadi raha hamtudanganyi kamweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaleta Taarifa wakati Tanzania ikiwa LDC. Leta Taarifa za sasa. Si unajua sisi ni middle income country. Au umesahau?
Sasa leta list ya nchi zilizopo Middle Income watu wake wanakufa na njaa.
Akikuletea unistue, niko palee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…