Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila maajabu yapo Nchi hii, [emoji23] Kweli they are (FILTHY RICH) [emoji23]
😅😅😅 Hiki kitu sikuwahi kufikiri kinawezekana, mifuko inaoshwa halafu inarudi sokoni, ina maana wateja hawaoni hii mifuko imeshatumika? 🙄
 
Wanawatuma wakenya wenzao kuja kuharibu biashara ya parachichi
Wakenya wanatakiwa wapigwe marufuku kabisa kuchukua parachichi za Tanzania sababu saivi Tanzania Ina pack houses za kutosha kupack mzigo wa ukubwa wowote, inashangaza kusikia huyo jamaa alikua amepewa kabisa na serikali pack house wakati Watanzania wenye huo uwezo wapo!
 
Hizo parachichi zimetupwa na nani? 😅😅😅

Unafikiri mtu anaweza kununua parachichi nyingi kiasi hicho kisha azitupe? Ni serikali imeshurutisha zitupwe na kama wangekua ni vifaranga vingechomwa
 
Ni Nyerere na mambo yake ya Ukombozi wa Africa kutumia hela zetu kununulia silaha, kutrain na kuongoza vita wa uhuru wa hizo nchi zisizo na faida yeyote kwetu.
Tatizo siyo Nyerere bali nchi zilizosaidiwa kutokurudisha fadhila na shukrani kwa Tanzania. Kama Nyerere asingefanye vile, leo hii Tanzania tungekuwa chini ya utawala wa kikaburu.

Kumbuka walishamweka Ian Smith ambaye angeendelea kuchukua maeneo ya Kaskazini mwa Zimbabwe. Namibia ilikuwa chini ya kaburu, Angola na Msumbiji chini ya wareno, Kenya nao walikuwa ni vikaragosi wao, yaani taratibu tulikuwa tunazungukwa, alichofanya Mchonga ni kuwawahi.
 
Hizo parachichi zimetupwa na nani? 😅😅😅

Unafikiri mtu anaweza kununua parachichi nyingi kiasi hicho kisha azitupe? Ni serikali imeshurutisha zitupwe na kama wangekua ni vifaranga vingechomwa
Kaka achana na huyu fala, ni chawa wa kitengo kenya, aliyetumwa hapa JF kama instigator. Mara nyingi hupenda kuandika comment za udini na kumnanga Magufuli ili kuudhi baadhi ya watu na kuleta mgawanyiko baina yetu. Utaona, alipotea hapa jukwaani lakini ishu ya maparachichi mabichi (ambao ni mpango wa serikali yao) imemuibua ghafla.
 

Haya poleni maana nyie siku zote kazi yenu kuwa sabotaged, mara mabeberu wanawahujumu, mara sijui nani yaani mpo wanyonge sana kuwa sabotaged na dunia kwenye kila kitu.
 
Hizo parachichi zimetupwa na nani? 😅😅😅

Unafikiri mtu anaweza kununua parachichi nyingi kiasi hicho kisha azitupe? Ni serikali imeshurutisha zitupwe na kama wangekua ni vifaranga vingechomwa

Sijafuatilia na sina haja ya kufuatilia vituko vyenu na maparachichi na Mkenya, ila hoja yangu hamjampoteza kama ilivyokua kawaida yenu kupoteza watu kwa issue yoyote ile.....nchi yenu ikiongozwa tena na jitu la mikoani huko mtagombana na kila mtu.
 
We umekua tu mchinga kama wengine hapa. Kwaivo hao wasomali si wakenya? Nani ndo mkenya haswa kwako kulingana na wewe?? Alafu hizo statistics zako kama huwezi kuziback rudi tu nazo huko chooni ulipozitoa
Wewe mwenyewe [emoji115]umeshawaita kuwa ni wasomali sasa wanakuwaje wakenya tena? Mbona unaji contradict tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…