Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee tuongee ukweli,sindano zimekuingia kisawasawa
Aah wapi, propaganda huwa hazinisumbui., mwambie achukue aerial view ya hayo maeneo tuone palivyo kwa upana na urefu.., ba mzee Nairobi sio Dar is slum, mwenzako anajaribu kujiliwaza tu..., Nairobi na Mombasa sio mwenzenu, kujiliwaza itabidi mtafute mapungufu yake ili mjisikie nafuu, kiukweli nyie bado sana, bado mko na sura ya kizamani na ufukara ulio tapakaa...,
 
Pole sana,misumari siku zote haimuachi mtu salama,
 
Huku mwehu hawezi leta picha, anapita kimya kimya kwa maumivu.., anatafuta taka na mapungufu kujiliwaza, baba levo alizurura akakubali yaishe., 😂 😂 😂 😂

 
Pole sana,misumari siku zote haimuachi mtu salama,
Kama tulivyo wabana, siku hizi hamna nguvu tena za kutudanganya, tumewafumania mmekosa jibu, jiliwaze inakubalika ila hapa 👇 👇 hamtoki kwa kizazi hiki poleni ba mzee, msife moyo pengine vitukuu vyenu vitaona na kukula mema ya nchi, ila sio nyinyi, mmechelewa sana, mabadiliko yatachukua miaka mingi zaidi ya maisha yenu humu duniani, huu ukweli unauma ila ndio hali ilivyo, tulieni kwa vioja😂😂😂😂😂😂😂😂..,





 
Tanzania imebakia wapi? tangu the 2022 Wealth Report by Knight Frank iwaumbue mliwakataa😂😂😂😂😂😂, independent bodies wenyewe wanataja Kenya, sio sisi ni dunia yenyewe inatutambua kwa mabaya na mazuri, wenye wivu wajinyonge., ichoboy01 na The best 007 jivunie dollar billionaire wenu mmoja na BRT pekee.., mengine fyata 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Sasa Oxfam in the light of Forbes na Wealth X, wametoa yao; "The report, published on Wednesday, has been released on the sidelines of the World Economic Forum in Davos, Switzerland..."




 
Picha za mitandaoni hazitakusaidia, zaidi zaidi unaji expose ufukara wako, mwenzio Ichoboy amekuja ka Nairobi kwa kazi ya kupiga picha tu na sio mtanzania wa kwanza na hatokuwa wa mwisho kuja kwenye kanchi kenu na kupiga picha. Na wote waliofika hapo picha zinafanana, ma slums, mauchafu, nyumba za mabati ndio symbol ya Kenya, zinawekwa mpk picha ambazo nyie mmezifanyia cherry picking lkn zikiwekwa uhalisia wake humu ni hovyo sn.

So, acha kujifariji na picha za mitandaoni njoo Dar picha, hujiulizi Wakenya wachache waliofanikiwa kuja Dar hawana picha chafu za ku post humu mfano KENPAULITE huwa anakuja Dar na picha chafu hana, wee fukara baki na picha za mwaka 70 zenye plastic bags wkt unajua fika no plastic bags in Tz as we speak.
 
Kwa maneno haya inaonekana ulikuwa unaandika huku unalia lakini hapa JF unashushia emoji za kucheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeongea kwa hisia sana, na bado mpaka dawa iwaingie kunako
 
Huu ukweli unauma sana.., utapigwa na wenzako wewe, nashuku kwa sasa The best 007 ameingia inbox kukuonya usikubaliane na Wakenya, ila wewe eneza ukweli, usiogope makapuku [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Kuna mtu anaitwa Mkikuyu- Akili timamu alikuwa anawapa dozi heavy humu licha ya kwamba ni mkenya lkn humwambii kitu kwa Tz na anajua fika kwamba Tz iko mbali sn uki compare na Kenya, si mlikuwa mnamkataa ndugu yenu humu au umesaau.
 
Nyie estate roads ziko sehemu za matajiri pekee lkn sehemu za mafukara kama Migori ni vumbi mwanzo mwisho, sisi access roads zipo mpk uswazi na nili share humu, hatuko sawa we are different msee.
 
Tukiwaambia waachane na Google wajichange waje Dar wapige picha wanakuambia hawawezi, jamaa ni mafukara mnooo, ila leo naona umeamua kuwapiga kabisa, ila makundustan hayana akili umelipa facts kwamba picha lilizoweka ni za zamani liweke picha mpya but baadae litarudi tena na picha hizo hizo, Wakenya sio tu ni maskini bali pia hawana akili.
 
Alafu wewe unaishi Migori[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna mkunya hata mmoja wa humu anaishi sehemu yenye afadhali, wote nyie mnaishi sehemu duni kama ilivyo asilimia kubwa ya Wakenya. Nyie mngekuwa mnaishi sehemu afadhali kdg tusingelala humu mana tunawajua kwa sifa.
 
Halafu kuna madogo wanatembea nayo kwenye vimfuko ukiombwa hela na usitoe unarushiwa na siku yako yote inaharibika. Laana siyo bure aisee. [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Duh kumbe ipo hivyo aisee [emoji848]
 
Imagine hapa ni CBD na pako hivi huko kwengine pakoje [emoji116][emoji116]
 
Huku mwehu hawezi leta picha, anapita kimya kimya kwa maumivu.., anatafuta taka na mapungufu kujiliwaza, baba levo alizurura akakubali yaishe., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hayo ni maeneo ya wachache, wengi wenu mnaishi huku [emoji116][emoji116]
 
Bongolala, sehemu naishi huwezi afford hata siku moja. Wewe zoea maisha ya uchochole ya uswazini. Huko Donholm niliishi miaka ya kitambo, 2009-2013 to be precise. I know it inside out. About Migori, huko ni kwetu nyumbani, I was there the whole of December and a good part of this month na bado nitarudi soon so sijui inakuuma kwa nini

Hivi, kama huna hoja si unyamazage tu! Sio lazima uquote every post here if you don't have something constructive to say.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…