Hii ni alama moja wapo ya umaskini 😆
ila sema ukweli hii gari nimeihurumia sana
View attachment 2485202
Jamaa wa kuokota mapicha mtandaoniHii ni alama moja wapo ya umaskini [emoji38]
ila sema ukweli hii gari nimeihurumia sana
View attachment 2485202
Siwezi piga mtu disillusioned kama wewe, endelea kuokota mapicha kwa internet ukipostNipige basi ili hasira zako ziishe plz[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ulikua unaandika article eti kunyaland mmefanya research ya ports amd railways zote za majirani ndio mkaexpand lamu port na kujenga SGR unaweka maneno mengi kumbe uongo uongo tu. SGR imeishia middle of nowherenew year, same shit all overagain... am havingg dejavu!
Weeh boss sema kulamba huyu mwarabu matako[emoji23][emoji23]Ichoboy anaweza kusafiri popote humo Kunyaland, anaweza kupiga picha kwa kutumia simu janja yake aina ya iPhone 14 pro Max,
Ichoboy anamiliki gari ya kisasa zaidi, na anaweza kujaza mafuta toka Mombasa hadi Juba to and fro na acount yake isihisi tofauti yotote,
Ichonoy anaweza kuja nairobi na kufikia hotel yoyote hapo Nairobi, kuanzia ole sereni hadi intercontinental,
Watz wa jf sio mafukara kama ulivyo fukara wewe na mafukara wenzio wa huko JamiiForums.com.
Sasa hio si ndani ya estate?Hii barabara nayo mmeizungusha sana bana. Iacheni ipumzike. [emoji1787] [emoji1787]
Maeneo mengi Nairobi kilomita nyingi kutoka CBD ni masafi tu na yameendelea ila kuna maeneo chafu pia kama ilivyo hapo Dar. Hii miji yote ni third world, msijifanye hamna uchafu huko. Nilichokuwa nawaeleza ni kwamba CBD ya Nairobi sii chafu na imepangika kuliko CBD karibia zote Afrika ukitoa SA.
Eneo kama hili kwa mfano kilomita 30 kutoka CBD.View attachment 2486595View attachment 2486596View attachment 2486597
View attachment 2486590
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siwezi piga mtu disillusioned kama wewe, endelea kuokota mapicha kwa internet ukipost
Hii hasira yote inatoka wapi kwann mtoto wa kiume unakaza fuvu na hasita namna hii😆😆Weeh boss sema kulamba huyu mwarabu matako[emoji23][emoji23]
Kilimani iko wap hapa...Maana naona CBD yenu kuu ya Nairobi...kama hio Media house kubwa hapo kenya...Kilimani is a CBD by itself, so many high rises
Nikiwa kilimani naweza rusha jiwe likafika cbd ya zamani [emoji1]Kilimani iko wap hapa...Maana naona CBD yenu kuu ya Nairobi...kama hio Media house kubwa hapo kenya...
Kama ni kule mbele baada ya expressway basi ni kama upanga tu...
Kwanza kilimani, kileleshwa na lavington ni sehemu ndogo mno...hata sijui kwa nini mlizitenganisha...
Ni kama Upanga yote ya Dar...
Basi tu mnakuza mambo
Thank you.NHC inafanya vizuri sana kununua eneo kubwa kisha kupima viwanja, kuweka miundombinu na kuviuza kwa wananchi vikiwa already surveyed, hii inapunguza makazi holela
Wakizingatia masterplan hii Arusha itapendeza sana
View attachment 2486683View attachment 2486684
Kaeneo kenye majengo ni kadogo mnoo, huwezi pata eneo empty hivi pale Dar CBD, huwezi.
Magufuli effect.Hatujawahi enda kinyume na render..
Render ya Hospital ya Kanda ya Kusini View attachment 2486571View attachment 2486572
Actual Buildings 👇View attachment 2486574View attachment 2486575View attachment 2486576View attachment 2486577
Kilimani hakuna uswazi na barabara za vumbi kama upanga or whatever you call that uswazi hovel ambayo haitambuliki nje ya jamii forums.Kilimani iko wap hapa...Maana naona CBD yenu kuu ya Nairobi...kama hio Media house kubwa hapo kenya...
Kama ni kule mbele baada ya expressway basi ni kama upanga tu...
Kwanza kilimani, kileleshwa na lavington ni sehemu ndogo mno...hata sijui kwa nini mlizitenganisha...
Ni kama Upanga yote ya Dar...
Basi tu mnakuza mambo