Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi London city in kenya[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]
Wakenya mmekuwa wanyonge hadi hurumaView attachment 2486351
Natamani ichoboy01 aende na Mombasa[emoji38][emoji38]
Wakenya watamchukia huyu jamaa milele, na hwatokuja kumsahau alichowafanyia kwenye hii thread
Sisi nye nye nyeee[emoji23][emoji23]
 
Hii hapa [emoji116]

Bado ziko nyingine pia nitazitafuta kwenye gallery yangu. View attachment 2486455
Unayoonesha hapa ni Muranng'a Road Koja Roundabout ambayo iko nje ya CBD, picha ya kwanza ni Kimathi Street, mbele ya Nation Center ambayo iko ndani ya CBD. Hizo ni sehemu mbili tofauti. Onesha hiyo Kimathi Street kwa hiyo hali ya uhalisia unayoongeles tuione.
 
Wakenya tuambieni sasa hizo picha ni Nairobi au siyo Nairobi?
Vijana wa Kundustan mnasemaje?
 
Wakenya tuambieni sasa hizo picha ni Nairobi au siyo Nairobi?
Vijana wa Kundustan mnasemaje?
Wewe wacha kubadili mjadala. Tunadebunk huu ujinga wa mtu kukataa picha nzuri za Nairobi eti zimetengenezwa kwa Kompyuta alafu analeta picha tofauti akikazana eti ndio picha halisia.
 
Kwani ni haki maeneo ya nje ya CBD kuwa machafu na kunuka???



Mbona unaongea kama ni kawaida tu yaani...

Imagine hapa ni 12km from CBD...tazama palivyo pasafi
 

Attachments

  • 20230118_193054.jpg
    104.8 KB · Views: 31
  • JamiiForums1115198999.jpg
    114.2 KB · Views: 30
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…