Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Shida sio ipo tu, zinafanya kinachotakiwa? [emoji23] Picha anazoshare Ichoboy hata ukaze fuvu vipi hazibadilishi ukweli Jiji ni chafu na mmeelemewa. Eti Turn over [emoji23] kwa mwandiko tu tukiangalia mpo vizuri sana. Fanyeni usafi wakuu maneno yaendane na hali halisi.
 
Kenya is rich[emoji38][emoji38]
 

Attachments

  • images - 2023-01-18T140202.601.jpeg
    60.2 KB · Views: 26
Bongolala, umesema waste recycle is big business opportunity na umeshindwa in that front. Ndio nikakuuliza kwamba nyinyi ambao mshagundua hiyo biashara imewatengenezea hela kiasi gani? Stop beating around the bush.

Kulemewa sio kosa. Unawezalemewa leo kisha ukaweka bidii zaidi na ujikwamue kesho. Shida ni pale mtu mlemavu anacheka mlemavu mwenzake
 
Uyo boya anajifanya chizi kwamba haoni ushuzi unaotumwa na Ichoboy humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuwe wakweli Tz haijafika level za Kenya kwa uchafu achana na mambo ya blind patriotism.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…