Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona sasa unaweka picha za zamani sn mkuu, kwa sasa hapo pako hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2485839View attachment 2485840
What was your point exactly? Was it not that picha zetu ni za filters? I just gave you an example of a few Dar images full of filters you post here on a daily basis alafu itabadilisha mada. What a useless bongolala!
 
Mbona unataja kitu cha kawaida sana? Eti garbage collection companies that charge households a fee for the services they offer? 😂😂😂WTF!

I have used this service in Nairobi for I don't know how long now hata nakushangaa tu

About recycling companies, please share with us solid waste recycling industry in Tanzania as a business, how many people it employs and its turnover tuone nimepinga hela ndefu kiasi gani. Usiwe unapayuka tu
 
Huu upuuzi wenu wa kuficha uchafu kwa kujifanya mnajua kingereza ndio unaowa cost mpk mmefika hapa [emoji116][emoji116]
 
Rangi ya maji ya huo mto ndo inashangaza aisee....

Itakuwa ndo flying toilets tunazosikia...na CBD ile?
That's raw sewage bongolala. And raw sewage and Dar ni kama chanda na pete. Only 10% of Dar residents are connected to sewage system na Mnashangaa ya Nairobi! 😂

Raw sewage everywhere but as always, hizi ni picha za 70s
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unaweza kudhani anafanya editing kumbe ni za kweli kabisaa.
Kuna nchi chafu mkuu hapa Afrika unaweza dhani ni utani cz huku kwetu hatuna uchafu kama huo, kwa hapa Africa nchi chafu zaidi ni Kenya unaambiwa Kenya mavi ya binaadamu yapo kila kona yn ukikata kona kushoto unakutana na mavi ukikata kulia kuna mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni midomo tu ndio ipo mbele [emoji23]. Mi wakiongeaga na hizi picha zinazowekwa zinakataaa kabisa. Hata kama ni baadhi ya Mitaa yaani ni Pamekaa kiboya sana[emoji23]. Ni kama eneo wamemwachia Mungu na wamebaki tu bora uhai.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna hayo mambo Tz kwa sasa, Magufuli alibadilisha kila kitu, mitaro ilichimbwa kila mtaa siku nitaanza kupiga picha za baadhi ya mitaro iliyochimbwa mitaani, msifosi tufanane, sisi tulibadilika kitambo na tukastaarabika, haya mambo tumewaachia nyie wachafu kunuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…