Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hiyo 41% ni nini?..., hehehehe
Kwanza kubali ndugu zenu ni Ethiopia na Uganda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asante kwa picha za google kwanza asante kwa picha za muda mrefu sana 🀣🀣🀣🀣
Wacha tuone same person exploring Dar na Nairobi, yeye sio biased na hana wivu wala chuki na Tz ama Kenya.., kwa propaganda na kuponda hujamba.., mgeni ndio muamuzi, kaa pembeni..,
Nairobi

Dar es salaam
 
Hiv mwanangu hujiskii vibaya.? Unahangaika na picha za ku download Google while akina icho boi wanafika kwenu na kupiga picha wenyewe then wanawavua nguo humu 🀣🀣.. Ningekua wewe ningeshaachana na hii disc..
 
Kwe kwe kwe kwe kwe kwe sasa hasira zako zitasaidia nm 🀣🀣🀣🀣🀣
Hasira?! πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kutumia neno kwe kwe kwe kwe kama nyani wakati wewe ni binadamu ndio kiashirio cha hasira
 
Hiv mwanangu hujiskii vibaya.? Unahangaika na picha za ku download Google while akina icho boi wanafika kwenu na kupiga picha wenyewe then wanawavua nguo humu 🀣🀣.. Ningekua wewe ningeshaachana na hii disc..
Wewe wacha kunikosea heshima dogo, eti mwananguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., relax, wacha mgeni akwambie wapi kati ya Dar na Nairobi is the most developed and lit..., sio mkenya wala mwenye wivu na chuki kama wewe..,
Dadeki..,

na utum e salamu kwa baba Levo pia...,
 
Unahangaika sana chalii 🀣🀣🀣, ona fanya hiv kama nauli ya Ndege ni kubwa panda hata basi upitie Namanga me nitaku host hapa DAR.. mana icho boi sio size yako utakufa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…