Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Hii project sijui nani aliiroga, toka enzi za JK Kigoda ni Waziri wa Viwanda inapigwa tu danadana, si waiache kabisa kama hawaitaki? Juzi kaja Kitilya hapa katuaminisha wanapiga ukuta kuanza ujenzi na jina jipya kaupa lakini wapi? Watu wamefidiwa, majumba yamevunjwa, mradi hauendelei…..eiish!!
naona hasira zinapanda 😂😂😂😂Victoria for you maggot.View attachment 2479163View attachment 2479164
Vijumba vitatu ndio ufananishe na New CBD unaumwa Mavi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona hasira zinapanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Victoria that we know and you don't want to talk about [emoji116] View attachment 2479372
Uswazi next door
Hiyo hata this small part of Upper hill looks better a million times View attachment 2479379
Kwamba sisi ndio tuna watu wengi na eneo kubwa ila tunaongoza kuwa na makazi bora?😁
Kwamba sisi ndio tunaochangia kupunguza hewa ya ukaa na kuleta mvua mvua regional nzima? Kwa lugha nyingine tungekuwa tunaweza kufungia hii eco diversity majirani zetu wote wangekufa? Alafu bado kuna watu wanatunyanyulia mabega? 🤔😅
Embu mtuoneshe na building code ya Kibera ikoje? Au ndio mabati?Watajuaje kitu kama building code? The only 'building code' they know is uswazi hovels
Dont compare Kariakoo na vitu vya kipuuziKariakor is a market for Christ's sake, not a central business district. No serious company or international investor will set up office there just like Eastleigh and other shopping centers
Huyu jamaa huwa ha mince maneno anawaambia ukweli.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na hii watakataa ila the good thing source ni ya kwao.
Westlands huwezani nayo bongolala. Hii sio Victoria ya vigorofa viwili kando ya barabara moja na uswazi bembezoni. Westlands is huge, green and massive!More of Westland [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2479176View attachment 2479177View attachment 2479179
New cbd ya uswazi pembezoni! 😂😂😂Vijumba vitatu ndio ufananishe na New CBD unaumwa Mavi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2479384
It's funny how Kibera ndio inakuwanga yardstick yenu. Kweli hatuko level mojaDont compare Kariakoo na vitu vya kipuuzi
Hii ni one of the place naipenda kutoka NairobiKilimani
By market capitalizationThe largest bank in East and Central Africa
Google earth is a fact beyond any reasonable doubt kilaza.., unajaribu kulazimisha nini sasa? chillax, u can't change facts no matter what.Kwa hiyo google ndiyo research findings?? Unaweza ku site authority kuthibitisha largest slums of the world??
Ndio maana yake.Kwamba sisi ndio tuna watu wengi na eneo kubwa ila tunaongoza kuwa na makazi bora?[emoji16]
Sio mm, na hapo kwa Tz co slums bali ni unplanned settlement, no slums in Tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]It's funny how Kibera ndio inakuwanga yardstick yenu. Kweli hatuko level moja
Sio mm ni media yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Google earth is a fact beyond any reasonable doubt kilaza.., unajaribu kulazimisha nini sasa? chillax, u can't change facts no matter what.
Hapa ni Kibera?It's funny how Kibera ndio inakuwanga yardstick yenu. Kweli hatuko level moja
Kwani leo mko na slums tena?! 😂😂😂😂😂Sio mm, na hapo kwa Tz co slums bali ni unplanned settlement, no slums in Tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2479437