Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikiwa ka Nairobi kapo hivi itakuwa Migori village [emoji116][emoji116]
 
Nyie ni watu wa kupendezesha macho tuu lakini ndani ni uozo mtupu. At first I thought hiyo ki flyover kimejengwa over mud road inabidi utumie nguvu ya ziada kujua kwamba kuna lami substandard hapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kulikua sio haba ,Kipindi hicho safari buku jero.. unapapata Lorenzo Pub?kuna club pia jina limenitoka opo maeneo ya jangwani
Inaitwa Endruz Bar ila siku hizi ilishachuja Kunazo mpya..

Ukija 2025 utkuta tumetandika lami Kila mahala yaani kwa Sasa tunajenga kwenda Bondeni/Muze kutokea Ntendo na kutokea Matai kwenda Kasesya/Zambia Border
 
Sema ni mbali sana na Dar mkali...unasafiri hadi unatamani kususa...Uko ntakuja kulima mahindi Napataftia hela
 
Kila siku huwa tunawaambia humu media zenu huwa zinawaongopea, mkawa mnabisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

wadau furahieni hii hapa 🤣 🤣

Tanzania will overtake Kenya in 3 years!!

Kenyans in their media are always talking about Tanzania. You can't find any media in Tanzania, where four or more people talking about Kenya.

I stopped listening to it when one among those fools said "google it". The whole of this silly talk derives from Facebook and Instagram economic data.
 
Sema ni mbali sana na Dar mkali...unasafiri hadi unatamani kususa...Uko ntakuja kulima mahindi Napataftia hela
Kwa Barabara ni mateso aisee,ni aidha uende mpanda au Songwe upande ndege au ukifulia panda bus kwa kuunga ila Moja kwa Moja ni majanga..

Hata Ukiwa n private car unaendesha Hadi kiuno kinaitika.
 
Huh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…