Morroco Dsm
![]()
![]()
![]()
Hii nyumba ipo uzunguni
kwa sababu watanzania wengi wakija Nairobi, maisha wanayoweza ku afford ni ya kibera.
comrade,ila we mtz mwenye redio ya mbao ambae unakurupuka bila data zizote unakandia bongo tutakuweka kwa wakenya tuendeleze mapigano,Mimi ,kadoda,tuusan,ichoboy,Ndinda tunawatosha kabisa wakenya wote naweww unaweza kujiweka upande wao afu utakuja kurealize badae
the drama continues...
current situation on citizen tv
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
raila ajitoa katika uchaguzi wa marudio.
NB: kiswahili cha kenya kiko fun sana...eti "raila abanduka".![]()
![]()
![]()
yaani hata english wanayoizungumza ni mbaya...sana yaani hata haivutiiMorocco wako vizur...upande wa north west AfricaMorocco prepares to test 'fastest train in Africa' View attachment 606357
hope Magufuli is taking notes...
tisha sana mkuuMorroco Dsm
![]()
![]()
![]()
Hii nyumba ipo uzunguni
Sioni chakutisha hapo naona vitu vya kawaidaumetisha mkuuu
Sioni chakutisha hapo naona vitu vya kawaida
Mzee wa iphone7,jay254,el matadol a.k.a chura ...hawa wote ni vibaka wakabaji wakikenya .....![]()
![]()
![]()
comrade,
hawa watu mimi hata hawanitishi,ni wa kuwapuuza tu.ni watz wenye ile mentality ya kizamani...ni watanzania wenye confidence ya kutojiamini....
asilimia kubwa,niwatz wanaoishi mikoani...sio mkoa wa dar.
mtu umekuita thread ipo kwenye page ya 4000+ na views 800000+ then unakurupuka tu out of no where kusema nairobi is blabla than dar....bila hata kutumia logic ndogo tu kujiuliza thread hii imefikaje kwenye page nyingi kiasi hiki...bila hata kutumia logic ndogo kujiuliza kwanini thread hii ina namba kubwa ya views kuzidi thread zote zilizowahi kuanzishwa kenyaforum.
bila hata kutumia logic ndogo kujiuliza
kwanini wakenya wamekuwa wakiji keep busy sana na hii thread tangu siku ya kwanza.
bila hata kutumia logic ndogo kujiuliza
kwanini wakenya wamewekeza nguvu zao kwenye hii thread na sio thread zingine za jukwaa la kenyaforum.
wakijuliza hayo masuali na kupata majawabu,wataelewa kwanini nairobi inapumuliwa kwa nyuma na dar kiasi cha kuwakosesha raha wakenya wasiamini kile dar inachoelekea kuifanya nairobi.
chokoraa unatapatapa tu winguni. ....habari za nyamalani uswazi.Unatafuta kiki naona