Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hizi gari zina shida gani?
 
Kuna thread jukwaa la siasa kuhusu hio picha,99% tumelaani huu upotevu wa hela. Alioweka hapa anajua kwanini kaweka.
Hapo Sawa Ila mbona mnamuacha awadhalilishe hivi hapa? Mbona msimwambie ukweli hapa?
 
Tazama hapa ni Iringa Municipal street coverage , see from the level of cleanness, organization, roads, houses, Cars , Public Transport (bus stages) etc .. this isn’t even in top 10 for Tz Cities and Municipalities.
Yaani hii ni town yenye number Tanzania ndio ulinganishe na a village centre! nakwambia nyie bado sana!!..,
 
These are small scale farmers and that's the best car for them. And you can see the cars are very good condition. Hapo bongo small scale farmers don't own cars.
Definition ya ufuklara ni Tanzania mikoani.., ukitoka nje ya town balaa..,
 
Tanzania tunaijua kote kote usijikaze na kuchagua chagua visehemu vichache "kujimwambafy" as u guys put it.., tabia za vijiweni nilidhani uliacha mwaka jana kumbe bado, πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Definition ya ufuklara ni Tanzania mikoani.., ukitoka nje ya town balaa..,
Huko watu wadogo hawana magari. Town Mdogo size ya Migori huko ziko empty of cars. Kenyan small scale farmers choose cars like probox, fielder and Hilux because they're hardy and cheap to maintain ama mtu anategemea mfugaji kuku abebee kreti za mayai kwa Range Rover? Every car has its use.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…