The guy is in Migori town but decided to be selective in his postings as he always does ili kufurahisha umati.Na hapo kuna access road hadi kwenye Getho la Msela?. Hivi huko Nyumba ni lazima upande mmoja wote usiwe hata na tobo la dirisha? Huko pia Rangi bei ghali au ?
Hahahaha. Ndio nini sasa umeweka?The guy is in Migori town but decided to be selective in his postings as he always does ili kufurahisha umati.
How did these places/buildings pass his attention?View attachment 2475596View attachment 2475597View attachment 2475598View attachment 2475599View attachment 2475600View attachment 2475601View attachment 2475607View attachment 2475608View attachment 2475609View attachment 2475610View attachment 2475611
Barabara kama njugu vaane.😍😍
Ndio hapohapo sio kwingineKama Kenya mwanangu [emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]View attachment 2475546
Hawa ni wazee wa ku massage data.Hizo statistics sio za kweliView attachment 2475603View attachment 2475605
Hahahaha. Ndio nini sasa umeweka?
Kwahio wewe na elimu yako unafikiri niliuliza kwasababu sijui? Basi sawa tumepata elimu kutoka kwako.Nyie mnahitaji elimu. Aliyepost ameandika “Nairobi in Art and Culture.” Huyo dada aliyechorwa ni character wa TV show ya Spain iliyopo Netflix inaitwa Money Heist. Jina lake ni Nairobi na ndiye character pekee mwenye jina la mji wa Afrika kwenye hiyo drama alongside wenzake kama Tokyo, Berlin, Rio, Denver na Helsinki. Idea nzima ni kuwa Nairobi is a global city na ni mji ambao ni influential sio kwenye politics (United Nations) na kiuchumi pekee pia hata kwenye sanaa.
Jamaa nimemshangaa sana. Yaani nimemshangaa sana. Sanaaaaa.😀 wanahitaji elimu au wew ndo unahitaji elimu? Maneno meeengi😀😄
Jamaa kauliza mji gan huu? Yan picha ipo mji gan?
Kwanza. Kwann uassume hawajui huyo dada anaitwa Nairobi kutoka series maarufu ya Money Heist..
Pili. Comments zako mara nying ni kuonyesha watu hawajui vitu, good thing sometimes hata hawangaiki nazo. stop this...
Mkenya wa kawaida ndio raia tajiri sana EACHiyo budget inawasaidia nini kama bado karne ya 21 mnatembeza bakuli la kuomba chakula.
Watchman wewe ni matako ya siafuMsenge wewe huoni aibu.
Kaskie vibaya nahukoHesabu nashuku kama hata ulipata D
Upotezaji wa pesa ya umma ndani ya nchi maskini sana dunianiGari za Regional na District Commissioners in Tz embu tuleteeni za ma Governors huko Kenya.View attachment 2475673
Leo umeanza siku kwa kufoka.Upotezaji wa pesa ya umma ndani ya nchi maskini sana duniani