Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nimekutana na defender moja ina body nyuma ndio ambulance yani nimecheka wallah🤣🤣🤣 hawa watu wanachekesha iko kama hii
gari za kubebea nyasi kwao ambulance View attachment 2475138
Gari ya Kubebea Nyasi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Ila kwa lipicha kama hili ni vigumu sana mtu kukuelewa unaposema Advanced, SUPER, RICH 😂, hii Picha ni definition ya Poverty. Angalia magari, Toroli la maji ( Maji husafirishwa kwa bomba lakini) gari la abiria ambalo ni lorry limelazimishwa kinyume🤣, Nyumba kubwa haina madirisha, Nguzo moja ina nyama kama spider web, kwa jinsi palivyobanana na hatuoni road marking hatujui binadamu wanapita wapi.
 
Hio nchi ni ya mahustles.. uongo na ujanja ujanja mwingi. Plate numbers tu ni kama za kuchora na mkono.. hilo gari huko nyuma haijulikan ni ferari au isuzu 😄.. na huyo mwenye mkokoten akiwa humu anasema anafanya kazi ikulu 😄
 
Hio nchi ni ya mahustles.. uongo na ujanja ujanja mwingi. Plate numbers tu ni kama za kuchora na mkono.. hilo gari huko nyuma haijulikan ni ferari au isuzu 😄.. na huyo mwenye mkokoten akiwa humu anasema anafanya kazi ikulu 😄
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ofisi ya Rais Tamisemi yao 😂😂😂
 
Walker255 sio Mtanzania huyo. Ni Mkenya na ndio style yao ya kujivika uraia wa Tanzania mitandaoni.
 
Mtaalamu wa kuchambua, vyote ulivyosema sikuviona ndio narudi kuàngalia tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hio nchi ni ya mahustles.. uongo na ujanja ujanja mwingi. Plate numbers tu ni kama za kuchora na mkono.. hilo gari huko nyuma haijulikan ni ferari au isuzu [emoji1].. na huyo mwenye mkokoten akiwa humu anasema anafanya kazi ikulu [emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asante kwa maelezo yako safi maanake mimi huwa sioni haja ya kuwajibu watu wengine humu juu wao hubehave ni kama either hawana elimu ama wanachagua kusumbua tu - kwa lugha ya kimombo wanaita sealioning.
Inafurahisha kuona unajiongelesha mwenyewe na account zako: NairobiWalker na Walker255.

😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…