Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tangu 2014 mnatuonesha picha hii. Hakuna picha zingine? Au wewe ni mgeni humu?
nimeuliza swali tafadhali, sio story mingi..

nyie wabongo, tumewazoea na huo uwivu wenu..
kubali tu kushindwa masera, tuko hapa kushindana infact...
coz ata hio 2014:- UAP Tower, Britam Tower, CBK Pension Scheme Tower, Parliament Tower na GTC Centre haikua imejengwa.! ala!
 

Wewe jamaa unaelimishwa lakini huelimiki. Siku zote mnaambiwa Tanzania hakuna slums, bali kuna unplanned settlements.
 
Nakuambia hivi kaka dmdp imechakaza sn mitaani huko, mm nitamuua na roads za Yombo pekee alafu nakuja kumchinja na kiwalani, akiwezana mm naondoka jamiiforums leo leo, Kenya hii hii isiyo na roads ndiyo ishindane na Tz?
Unajua nyie mlikuwa mjamuelewa, wakenya mitaa wanaita Estate, sasa nilipoona anaringishia hicho kichochoro alafu nikiangalia access roads zetu za mitaani venye ziko nikasema…….hiiiiii (kwa sauti ya JPM) anajua anachokitafuta kweli huyu?
 

Gated community [emoji3][emoji3][emoji3]
Overall Dar Real estate is ahead of nairobi by $3b
 
Leo huu uzi wetu pendwa umefikisha miaka 5 rasmi toka uanze. Pongezi pekee zimuendee muasisi Emc2 kwa kutupa uzi maridhawa uliowastua majirani zetu toka usingizi ambao walidhani wao ndio baaab kubwa kwenye huu ukanda.

Hata hivyo niwapongeze Wakenya wachache waliobakia wakipambania taifa lao, nyie ni mashujaa kuendelea kukaa kwenye battle field ambayo kila siku mnachapwa, niiombe Serikali yenu angalau iwafikirie kuwapa nishani, mnafanya kitu kikubwa sana kinachotaka moyo, sio wote wanaweza.😅😅😅

Kwa wabongo wenzangu, Aluta Continua, heshima ya taifa letu kwenye ukanda huu haielezeki, tuilinde kwa wivu.

Happy Anniversary Battle: Dar es Salaam VS Nairobi.
 
Carefully selected images taken from carefully selected angles.
Anajaribu kuwaelimisha mjue kutafautisha kati ya trunk road na access road and he couldn't do it better than using pictures. Anajua kwamba kumuelimisha mbongo mzigo so he had to be creative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…