Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

11249116_934350249954121_1344924210_n.jpg
Looks like streets of Europe cities , I wonder why i have never seen streets of Dar CBD, all we see is TPF ama sijui inaitwaje. It's either hawana streets ama they are not that pleasing ....
 
Heri sisi ni wakenya, wewe unafanya nini kwa thread iko na title "kenyan news and politics"
Besides, you guys are always thrash talking on all kenyan posts and even starting threads with Tanzanian issues here, kwani thread yenu mmekaukiwa ama ni attention yu mnatafuta, ushawai kuniona nikipost kwenye issues za Tz? Nobody ever complains but it's time y'all man up.
acha kulalamika.
 
ila nimefurahi kuona wakenya karibia wote mliopo jf,mmewekeza nguvu zenu katika thread hii...yaani mkiamka tu asubuhi mnawaza battle ya dar vs nairobi....mkitoka lunch mnawaza battle ya dar vs nairobi....kabla hamjapanda kitandani kulala mnawaza battle ya dar vs nairobi...yaani dar imewashika "videadly".
to me this thread is all about Nairobi....just showing Nairobi's beauty to the world...I dont see it as a battle...we cant battle with inferiors bana...its like chasing the wind...hatuwezi battle na watu tunajua tumeshawashinda..Tuko tunapeleka picha za Nairobi Nairaland...sasa hio ina maana Lagos wametukaba??
emoji23.png
emoji23.png
tuko tunapeleka picha Quora na Skyscrapercity na pia CityData forums....
 
hii ndio shida ya kiherehere na ujuaji wa wakenya.

kiherehere cha huyu mkenya kimemtokea puani....kujifanya anajua sana kukosoa affairs za nchi isiyo muhusu kumemtokea puani matokeo yake anaandika kingereza kibovu na kukosolewa na binti wa paul kagame.
shame...

8e1abfb4bdf2fd559735501094660f4c.jpg
 
Looks like streets of Europe cities , I wonder why i have never seen streets of Dar CBD, all we see is TPF ama sijui inaitwaje. It's either hawana streets ama they are not that pleasing ....
trust me...they dont...
emoji23.png
emoji23.png
Ive seen pics of Dar streets kwingine...substandard tingz...
 
hii ndio shida ya kiherehere na ujuaji ya wakenya.

kiherehere cha huyu mkenya kimemtokea puani....kujifanya anajua sana kukosoa affairs za nchi isiyo muhusu kumemtokea puani matokeo yako anaandika kingereza kibovu na kukosolewa na binti wa paul kagame.

8e1abfb4bdf2fd559735501094660f4c.jpg
a Rwandan teaching a Kenyan English..lol! what a joke
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
have KOT heard abt this???
 
to me this thread is all about Nairobi....Tuko tunapeleka picha za Nairobi Nairaland...sasa hio ina maana Lagos wametukaba??
tuko tunapeleka picha Quora na Skyscrapercity na pia CityData forums....
hiyo yote ni athari mbaya ya u-jobless na kutojiamini.

haiwezekani mtu ambaye yuko busy na kazi zake ajihangaishe kupost picha kote huko ulikotaja.....unemployment crisis is killing the youth manpower of kenya....nitakupa "mbao" tukipatana kimathi street.
 
I have watched so many Hollywood movies, they mention Nairobi, sijawai kusikia neno daresaalam
I heard another foreign guy asking if Tanzania is in Kenya...lol! i laughed like shit...
emoji23.png
emoji23.png
nobody knows abt these guys
 
hiyo yote ni athari mbaya ya u-jobless na kutojiamini.

haiwezekani mtu ambaye yuko busy na kazi zake ajihangaishe kupost picha kote huko ulikotaja.....unemployment crisis is killing the youth manpower of kenya....nitakupa "mbao" tukipatana kimathi street.
americans are posting pics of their cities in Quora...others in CityData....south africans have their pics in many forums...wengine hata huwa wana comment na more than 1000 words kwa Quora...ina maana hao pia hawana kazi za kufanya?? sio?? ubaya ujinga wenu huwa mnafikiri kuandikwa kazi ni lazima uwe uko kule nje unabeba mawe ama uko shambani ama unandesha wheelbarrow ama uwe umeshika nyundo ama uwe kariakoo...my friend btw mi sai niko kazi....just sitting at a desk with a computer...
 
These remarks show how you guys are so arrogant and have pride... Instead of just concluding that it's a nice move by both Kenyans and Tanzanians that has kept this thread alive you are there to troll someone as if you have never replied or counteracted his comments. Man up for once, you don't have to oppose everything!
Your old age in the forum doesn't emulate your maturity in any manner.
.
Hold on playa! There was no arrogance whatsoever, we're cool as a cucumber straightening a brother up. We're in here heavy, just so you know.
 
Heri sisi ni wakenya, wewe unafanya nini kwa thread iko na title "kenyan news and politics"
Besides, you guys are always thrash talking on all kenyan posts and even starting threads with Tanzanian issues here, kwani thread yenu mmekaukiwa ama ni attention yu mnatafuta, ushawai kuniona nikipost kwenye issues za Tz? Nobody ever complains but it's time y'all man up.
thread zao huwa very boring...I tried one day wooi!! kwanza kiswahili cha kule sijui ni cha wapi...
 
hii ndio shida ya kiherehere na ujuaji wa wakenya.

kiherehere cha huyu mkenya kimemtokea puani....kujifanya anajua sana kukosoa affairs za nchi isiyo muhusu kumemtokea puani matokeo yake anaandika kingereza kibovu na kukosolewa na binti wa paul kagame.
shame...

8e1abfb4bdf2fd559735501094660f4c.jpg
over the time i have known Lord Mutai, he occasionally makes spelling mistakes. but aint nothing wrong with that tweet. the joke's on her
 
Back
Top Bottom