Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Yah itakua 17floors na kwa sasa ipo 5th floor.. Itakua hub ya xinua news agencyhii ndio 17fl????😀😀😀😀😀😀😀 kweli vyuma vimekaza
![]()
hvi wewe uko serious kweli is that pic look like 17fl????😀😀😀😀😀😀😀😀Yah itakua 17floors na kwa sasa ipo 5th floor.. Itakua hub ya xinua news agency
![]()
Xinhua hub, CCTV hub, China-Africa Development Fund headquarters, AVIC headquarters... further cementing Nairobi's place as China's gateway to Africa.
Picha ni ya kitambo wamechange vitu kadhaa site yao inaonesha 17floors ntakutumia link baadaehvi wewe uko serious kweli is that pic look like 17fl????😀😀😀😀😀😀😀😀
Nadhani hukunielewa nilichomaanisha, kwa mfano hebu nenda uganda section haiko active kwa sababu waganda hawapo na wewe mwenyewe licha ya mapovu yako kua wakenya hawamake impact yeyote hapa jf umepiga kambi hii section ya kikenya ukibishana nao kila kuchao

.
Yaani wewe huna hata miezi mitano hapa JF unajifanya mjuaji hivyo? Usiwe na akili za mbayuwayu, jaribu hata kuangalia mada za mwazo mwanzo za hii Kenyan forum uone zilianzishwa na nani. Kwa taarifa yako tuu; vagi letu na nyinyi lilianza miaka ya kati hapo hasa 'Gezaulole' alipolianzisha kwasababu ya baadhi yenu kujifanya wajuaji .
Kabla ya hapo habari za kenya zilikuwa zikibandikwa 'international forums' na Watz, baada ya kuchoka kujadili siasa za ndani. Watu walipumzika 'international forums' kujadili mada mbalimbali za nje ya Tz, Wakenya wengi kama wakina 'smatta', 'Ab_Titchaz' na 'nomasana' tulikuwa tukijadiliana kishkaji na utani wa hapa na pale, hakukuwa na majigambo wala matusi (ni kama tunavyojadiliana na mwenzenu 'MK254').
Tatizo ni baadhi yenu watu wa ushagoo mliojifunza kutumia mitandao jizujuzi na kutoa tongotongo ndo mnatokwa na mapovu hapa, sitashangaa kama mmejifunza haya mambo ukubwani na kufikiri dunia yote inaizunguka Nairobi.
mtu mwenyewe umejiunga jf june 2017,hata miezi sita hujafikisha halafu unaanza kutuletea porojo zako hapa.
![]()
embu tuonyeshe any sensible thread iliyoanzishwa na mkenya hapa jf yenye views 700000+
ukinionyesha,basi naahaidi nitaanza kupost picha za nairobi kila siku nikiingia jf.
tuchinese tumejaa kilimani nowadays. kwanza hiyo area ya yaya centre
umejaza ufala kwa kichwa.ila nimefurahi kuona wakenya karibia wote mliopo jf,mmewekeza nguvu zenu katika thread hii...yaani mkiamka tu asubuhi mnawaza battle ya dar vs nairobi....mkitoka lunch mnawaza battle ya dar vs nairobi....kabla hamjapanda kitandani kulala mnawaza battle ya dar vs nairobi...yaani dar imewashika "videadly".![]()
hawana amani na hawaamini wakionacho😀😀😀😀😀😀ila nimefurahi kuona wakenya karibia wote mliopo jf,mmewekeza nguvu zenu katika thread hii...yaani mkiamka tu asubuhi mnawaza battle ya dar vs nairobi....mkitoka lunch mnawaza battle ya dar vs nairobi....kabla hamjapanda kitandani kulala mnawaza battle ya dar vs nairobi...yaani dar imewashika "videadly".![]()
hahahaha asante kwa povu😀😀😀😀😀😀😀Picha ni ya kitambo wamechange vitu kadhaa site yao inaonesha 17floors ntakutumia link baadae
hahahaha asante kwa povu😀😀😀😀😀😀😀
don't take it serious bro...i was not intending to irritate him,but just to show the immaturity of his membership. such words would make sense if were spoken by an older member of jf from kenya.These remarks show how you guys are so arrogant and have pride... Instead of just concluding that it's a nice move by both Kenyans and Tanzanians that has kept this thread alive you are there to troll someone as if you have never replied or counteracted his comments. Man up for once, you don't have to oppose everything!
Lunatic Losermatic ndio ako na akili sawa kwa hii kijijiKatika hizi forum kuna tu bongolala mmoja tu ambaye kidogo yeye hufikiria jambo kabla aliandike hapa na huyo ni non other than stevebee,lakini the likes of choboy01 na kadoda11 hao ni vizaaza tu vichwa vyao hamna ni uji tu umejaa.
views za hii thread = 900,000
jf total members = <450,000
which means nearly 500,000 non-JF members have visited this thread. probly they were googling about Nairobi

Heri sisi ni wakenya, wewe unafanya nini kwa thread iko na title "kenyan news and politics"ila nimefurahi kuona wakenya karibia wote mliopo jf,mmewekeza nguvu zenu katika thread hii...yaani mkiamka tu asubuhi mnawaza battle ya dar vs nairobi....mkitoka lunch mnawaza battle ya dar vs nairobi....kabla hamjapanda kitandani kulala mnawaza battle ya dar vs nairobi...yaani dar imewashika "videadly".![]()
of course Nairobi is famous. no one knows about dar is slum.... For What?umenivunja mbavu zangu uliposema "probly they were googling about nairobi".... imebidi nitoke nje ya ofisi niende nje nikacheke kwa sauti...bwahahhaha....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wallah manzi wangu wa kimombasani(injinia uchwara)nikiona tu maandishi yako....nakuwa hoi bin taabani...hata sijiwezi....wallah nakuahidi nitakuja mombasa kukutia jichoni....mwanamke mtamu sana weye...(isome kwa lafudhi ya pwani huku sauti ukiitolea puani).Katika hizi forum kuna tu bongolala mmoja tu ambaye kidogo yeye hufikiria jambo kabla aliandike hapa na huyo ni non other than stevebee,lakini the likes of choboy01 na kadoda11 hao ni vizaaza tu vichwa vyao hamna ni uji tu umejaa.
